Hakuna kitu, ni vidonge vichungu vilivyo pakwa sukari. Suruhu ya yote ni kufuata sheria, kwa kuanzia na kufuta sheria zote kandamizi, kuunda katiba mpya, ambayo hana muda nayo.Mama anacheza karata zake vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu, ni vidonge vichungu vilivyo pakwa sukari. Suruhu ya yote ni kufuata sheria, kwa kuanzia na kufuta sheria zote kandamizi, kuunda katiba mpya, ambayo hana muda nayo.Mama anacheza karata zake vizuri
Tunaongea lugha moja sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wa mbugani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
😂 😂 😂Mama anacheza karata zake vizuri
So far inaonekana ana mwandishi mzuri wa hotuba zake.Wanajukwaa habari zenu,
Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali.
Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na baadae ikafuatia HOTUBA ya Mh. Rais, hotuba hii imekuwa ni kusimumua sana kwasababu imejikita katika kutoa dira ya Mh. Rais katika kutatua matatizo mbali mbali ikiwa ni:-
Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.
Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.
Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.
Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.
Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.
Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.
Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.
Asanteni sana.
Sentensi yako imejaa wivuTunasubiri Lissu aje na suluhisho!
Sidhani katu Lumumba kuwa ufipa!Tunaongea lugha moja sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika generation hii yetu hatuhitaji speech nzuri peke yake bali tunahitaji zaidi matendo mazuri ya kimaendeleo. JPM hakuwa mzuri katika speech na wakati mwingine speech zake zilikuwa zinaleta ukakasi sana masikioni hasa mwanzoni mwa utawala wake lakini watu walimpenda sababu ya matendo yake. Jakaya wakati anafungua bunge 2006 alitoa speech nzuri sana yenye kuleta matumaini na pia alikuwa mzungumzaji mzuri jukwaani na kauli mbiu yake ya "ARI MPYA, KASI MPYA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA". Lakini angalia alivyovurunda mpaka serikali ikawa hoi. Hivyo tunahitaji performance ziadi kuliko speech nzuri. Kama mama akiwa na speech nzuri na performance yake pia ikawa nzuri, the better.So far inaonekana ana mwandishi mzuri wa hotuba zake.
Hotuba zake zinajikita kwenye hoja na msisitizo wa mambo muhimu; na huziwasilisha kwa mtiririko ulio sawia na wenye kueleweka.
We boya kwahio babaako uliyekuwa unamsifia alikuwa anarmtumia miguvu?Wanajukwaa habari zenu,
Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali.
Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na baadae ikafuatia HOTUBA ya Mh. Rais, hotuba hii imekuwa ni kusimumua sana kwasababu imejikita katika kutoa dira ya Mh. Rais katika kutatua matatizo mbali mbali ikiwa ni:-
Kusisitiza matumizi ya AKILI badala ya "MISULI" nafikiri hapa Mh. Rais alimaanisha MIGUVU na hasa kwa kuendelea kuwasisitiza TRA kuhakikisha wanakusanya kodi bila ya kuwaumiza walipa kodi.
Rais sasa ameonesha njia katika namna ya kukabiliana na tatizo la Covid 19 kisayansi akisisitiza kuwa Tanzania sio kisiwa, kwa hili tunamshukuru sana kwasababu ni wazi sasa tunaenda kubadili taswira yetu KIMATAIFA kwenye kukabiliana na changamoto hii inayoikabili Tanzania.
Uwekezaji, hapa kwakweli amezungumza UKWELI mtupu na ni vyema watu wenye dhamana katika suala hili kuhakikisha wanafanyia kazi kwasababu hawa wawekezaji ndio ambao watasaidia katika kukuza ajira na kuipunguzia mzigo mzito serikali ya kuajiri. Hapa ni muhimu kuondoa urasimu ili kuweza kurudisha imani kwa wawekezaji si vizuri kusema Private sector haikupewa uzito inaostahili hapo nyuma lakini ni vyema kuanzia sasa tukawa na kiu ya kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania.
Uhuru wa kwa vyombo vya habari, huu ni mwanzo mzuri kwasababu kukiwa na uhuru katika vyombo vya habari hii itampa nafasi ya kuweza kufahamu namna watendaji wake wanavyofanya kazi, wanasema Vyombo vya habari ni "Mhimili wa nne" katika serikali kwasababu ni wazi itakuwa ni rahisi kwake Rais kufahamu kwa uwazi mambo ambayo ingekuwa ni vigumu kwake kupata taarifa kwa wakati.
Kupitiwa upya kwa mitaala ya elimu, hapa ni kweli tunahitaji elimu ambayo itakuwa na msaada kwa vijana wengi wa Tanzania kwasababu elimu tuliyonayo sio siri hamuandai kijana kujiari bali kuwa muajiriwa ni kweli hapa tunahitaji mabadiliko ambayo yataenda kuleta suluhisho katika elimu ya Tanzania.
Kwakweli ni mambo mengi na ya umuhimu aliyoyaongelea kuweza kuayaandika hapa yote si rahisi sana ila ni hotuba yenye matumaini makubwa na kama watendaji watakuwa wamemsikiliza kwa umakini na kuyafanyia kazi basi tunaweza kuanza enzi mpya kwa mafanikio makubwa sana.
Niwatakie heri tunapoenda mapumziko ya Karume day.
Asanteni sana.
Kivipi!Sentensi yako imejaa wivu
Wanajukwaa habari zenu,

Good morning Tanzania. Inavyoonekana TAL ni mwanasheria mbobevu ukiachilia mbali Andrew Chenge. Napendekeza Tundu Antipus Lissu aitwe nyumbani akaribishwe nyumbani na kuteuliwa kuwa AG atusaidie kujenga nchi badala ya kuedelea kukaa nje ya nchi kama mkimizi wa kisiasa. Hivi ndiyo mataifa imara na madhubuti yanavyojengwa.