"Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

Mkuu hata kama ila ameonesha Dira kwenye UHURU NA HAKI na mimi ni muumini mkubwa wa kutaka uhuru na haki ya kujieleza.
Wewe nyumbani kwako huwa unatumia demokrasia kwamba watu wale nini au kilichopo??
 
Hvi CHADEMA hawajatoa tamko kwamba UTUNDU LISSU anarudi lini bongo? Au bado wanaogopa kivuli cha JPM? Nasubiria kwa hamu sana hilo tamko.
 
Mama anafurahisha sana , Mungu amlinde na wanafiq.
 
Wewe nyumbani kwako huwa unatumia demokrasia kwamba watu wale nini au kilichopo??
Hakika Mkuu ilimradi kipo kwenye uwezo wangu lakini sio kudictate "fanya hiki hautaki basi".

Uungwana doesn't cost anything.
 
Hvi CHADEMA hawajatoa tamko kwamba UTUNDU LISSU anarudi lini bongo? Au bado wanaogopa kivuli cha JPM? Nasubiria kwa hamu sana hilo tamko.
Atarudi kwa utukufu siku ikifika.
 
Hakika Mkuu ilimradi kipo kwenye uwezo wangu lakini sio kudictate "fanya hiki hautaki basi".

Uungwana doesn't cost anything.
Unaelewa maana ya Udictator? Je mtoto wako huwa unamuuliza kwamba anataka aende shule au hataki??
 
Hii hotuba ataitumia kwenye kampeni 2025 luwafyekelea mbali upinzani na majizi...
 
Haya yote yanaonesha aliyekuwepo kabla alikuwa na walakini mkubwa sana
 
Unaelewa maana ya Udictator? Je mtoto wako huwa unamuuliza kwamba anataka aende shule au hataki??
Wewe hayo yako hebu tujikite kwenye mada, mtoto kama unamuelekeza vizuri manufaa ya shule na unamtengenezea mazingira mazuri atakuwa anakuambia asubuhi na mapema umuandae aende shule.

Wawekezaji hawahitaji unpredictability behaviour na pia hatuwezi kwenda wenyewe bali tunahitaji kwenda na Dunia nzima.
 
Haya yote yanaonesha aliyekuwepo kabla alikuwa na walakini mkubwa sana
Hapana, anayekuja hatakiwi kuwaacha wakae katika speed ile kwa kuwasifu, kikubwa ni kuwachallenge ili wajione kumbe bado, msichokielewa ni nini? Mama anachofanya ni kuongeza volume ya kikichopo.
 
umesahau ya bando na mitandao yetu mkuu!
 
Mama akiendelea hivihivi kadi yangu ya CHAUMA naichoma moto
Anaongea yani hutaki hata amalize
Tuzidi kumweka kwa maombi anaonekana ana nia ya dhati ya kufufua private sector ili ajira zirudi na hii itaongeza mzunguko wa fedha mtaani!
Mungu akupe afya njema mama
 
My point is i support mama sana, kwa mengi. Najaribu kukueleza kuwa kama ni dictatorship hata nyumbani ipo, kila mahali ipo, hata sometimes kazini kwako ipo, ila ni ile ya kubring changes
 
Kabisa Mkuu analeta TUMAINI YA TANZANIA YA KESHO
 
Mama yupo vizuri and I wish her the very best ila ni swala la muda tu kabla hawajaanza kumpiga vitu. Sisi ndo wamatumbi tunakupenda mwanzo tu, usipotuletea ugali mezani tunaanza kukuchukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…