"Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

My point is i support mama sana, kwa mengi. Najaribu kukueleza kuwa kama ni dictatorship hata nyumbani ipo, kila mahali ipo, hata sometimes kazini kwako ipo, ila ni ile ya kubring changes
Nakubaliana na wewe watu wengi ni maimla sema hawana mamlaka lakini ni vyema kujitazama kwenye kioo ili kujiangalia vyema yale unayoyafanya.

Kutegea sikio na kusikiliza sauti za wengi ni Busara na Hekima kubwa.
 
Mama yupo vizuri and I wish her the very best ila ni swala la muda tu kabla hawajaanza kumpiga vitu. Sisi ndo wamatumbi tunakupenda mwanzo tu, usipotuletea ugali mezani tunaanza kukuchukia.
Katika yote aruhusu watu kusema aendelee kusimamia UHURU NA HAKI.

HAKI UINUA TAIFA.
 
Kama Tanzania ingekuwa ni simu tungesema mama kaonyeza command ya FACTORY RESET.

Yaani MAUJINGA yote Magufuli anayafukia kwa lugha laini bila chuki, husda wala matusi.
Ni kweli kabisa. Tutegemee mengi kubadilika. Inaonekana alikuwa hana namna ila alikuwa hakubaliani na Magufuli kwa mengi. Siyo yeye ila CCM ni wengi walikuwa wanaugulia kichinichini.
 
Nadhani katika awamu zote za uraisi zilizo pita awamu ya mwendazake ndiyo imefanya madudu zaidi na kulikuwa na ufisadi mkubwa mfano pale bandarini na BOT

Walikuwa wanatumia kivuli cha wanyonge na mataga praise team
 
Ni moja ya hotuba bora Sana kuishuhudia kwa kiongozi mkubwa wa nchi yetu
 
Mama yupo vizuri and I wish her the very best ila ni swala la muda tu kabla hawajaanza kumpiga vitu. Sisi ndo wamatumbi tunakupenda mwanzo tu, usipotuletea ugali mezani tunaanza kukuchukia.
Sasa kama uliahidi kuleta ugali mezani na usilete mpaka mikono inakauka unadhani ni kwanini tusikuchukie
 
Ila rais yoyote huanzaga vizuri sana. Ndio maana kina zitto wamejifunza kitu, hawakurupuki kusifia ila wanamcheki kwanza...
Huyu ni kumuombea ile timu isimuingilie...
Akifanya vizuri tunamuunga mkono akiharibu tunamshukia kama mwewe,yaani iko hivyo
 
Jambo hili namwomba Mungu ili ampe Hekima ya kukabiliana nalo

Nguvu kubwa ya Neno Tanzania sio kisiwa kuhusiana na covd mara nyingi imesikia kutoka nje, tuliomo ndani Kwa asilimia kubwa hatuvai barakoa na hatujawahi kujali kabisaukilinganisha na wavaa barakoa masaa yote nchi za wenzetu, lakini Bado kwao ndio kuna tatizo kubwa zaidi

Nasema kwamba, Hekima Ya Mungu iongoze Kwa sababu swala hili likiamliwa vibaya linaweza kuleta sintofahamu hasa Kwa viongozi wa dini na wale walioamini sasa tz Corona itakuwa ikipita na kwenda zake
 
Ila rais yoyote huanzaga vizuri sana. Ndio maana kina zitto wamejifunza kitu, hawakurupuki kusifia ila wanamcheki kwanza...
Huyu ni kumuombea ile timu isimuingilie...
Akili yako utakuwa umeikabidhi kwa Zitto akicheka ndo na wewe utacheka sio
 
6 April 2021
Hotuba ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapisha Makatibu wakuu wa Wizara

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…