"Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

Mama anacheza karata zake vizuri
Hakuna kitu, ni vidonge vichungu vilivyo pakwa sukari. Suruhu ya yote ni kufuata sheria, kwa kuanzia na kufuta sheria zote kandamizi, kuunda katiba mpya, ambayo hana muda nayo.
 
So far inaonekana ana mwandishi mzuri wa hotuba zake.
Hotuba zake zinajikita kwenye hoja na msisitizo wa mambo muhimu; na huziwasilisha kwa mtiririko ulio sawia na wenye kueleweka.
 
Ngoja tuone itakavyokwenda...

Maana binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
So far inaonekana ana mwandishi mzuri wa hotuba zake.
Hotuba zake zinajikita kwenye hoja na msisitizo wa mambo muhimu; na huziwasilisha kwa mtiririko ulio sawia na wenye kueleweka.
Katika generation hii yetu hatuhitaji speech nzuri peke yake bali tunahitaji zaidi matendo mazuri ya kimaendeleo. JPM hakuwa mzuri katika speech na wakati mwingine speech zake zilikuwa zinaleta ukakasi sana masikioni hasa mwanzoni mwa utawala wake lakini watu walimpenda sababu ya matendo yake. Jakaya wakati anafungua bunge 2006 alitoa speech nzuri sana yenye kuleta matumaini na pia alikuwa mzungumzaji mzuri jukwaani na kauli mbiu yake ya "ARI MPYA, KASI MPYA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA". Lakini angalia alivyovurunda mpaka serikali ikawa hoi. Hivyo tunahitaji performance ziadi kuliko speech nzuri. Kama mama akiwa na speech nzuri na performance yake pia ikawa nzuri, the better.
 
We boya kwahio babaako uliyekuwa unamsifia alikuwa anarmtumia miguvu?
 
Alipoingia Jerusalem wamimwita mbarakiwa, alipofika golgota wakasema asurubiwe.

Time will tell
 
Alipoingia Jerusalem wamimwita mbarakiwa, alipofika golgota wakasema asurubiwe.

Time will tell
Mwishoni mwa siku alileta UKOMBOZI ilimbidi apitie aibu ili Sisi tupone na tutoke kwenye makucha ya shetani.

Karume day njema.
 
Samahani nilitaka kuandika bro sio boya!!
Bila samahani ndugu yangu nafikiri ulikuwepo na uliona, maisha ya giningi ni vyema ukajua siasa za kuishi na Bi Kirembwe.

Asubuhi njema.
 

Ujenzi wa nchi usiwe na ubaguzi. Yote haya yakifanyika kelele zitapungua na nchi itasonga dembele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…