Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.

Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.

Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo ukoje, ila naona hili linaweza kutokea.
 
Sijui sana utaratibu wa kucheza droo ukoje, ila naona hili linaweza kutokea.
Kupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
 
Simba inawez kutana na yanga kwa sababu simba sasahv anawez ingia pot 3 yanga atakuwa pot4 la vilaza hivo wakinyofoa mmoja kila poti inawez tokea
 
Kupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
Msimu uliopita au msimu wa mwaka juzi kama sikosei mbona walipanga Al Hilal ya Sudan pamoja na Al Marekh kundi moja
 
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.

Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.

Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo ukoje, ila naona hili linaweza kutokea.
Hatua ya makundi timu zinazotoka nchi Huwa hazipangwi kundi moja

By the way:
Nashukuru umeanza kukubari kuwa Yanga anaringia makundi

Ahaaaaaa
 
Back
Top Bottom