Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

Kupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
Katika underdogs kuna wa kati na chini kabisa......Yanga ni wa chini kabisa. Simba ni wa kati. Kwa hiyo inawezekana. Kwenye ranking
Simba pot 2
Yanga Pot 4
 
Yanga hii ni ya kuogopwa kama ukoma, usiichukulie poa kabisa unaweza kuja kuaibika bure.
Tatizo Mna umaandazi mwingi hamsomi kuelewa.

Kwa renki ya Simba Ni pot la 3 na yanga Ni pot la 4.

Hivyo wanaweza kukutana.

Sasa hayo uloandika Yana maana gani.

Huyo kaingea takwimu za CAF we Ni ushabiki na mahaba
 
Kwenye hatua ya makundi haziwezi kukutana labda kuanzia robo fainali na kuendelea ni kama makundi ya UEFA timu za nchi moja hazipangwi kundi moja.
 
In fact ni 99.99% kwa Yanga na 52% kwa Simba.

Kujibu swali lake ni vizuri aelewe kuwa CAF huwa hawapangi timu zinazotoka kwenye zone moja wakati wa makundi.
Sio kweli .Al hilal na El marreikh kuna msimu kama sikosei ni uliopita au wa juzi walikuwa kundi moja na zote zinatokea nchi moja. Kitakacho watenganisha ni endapo watakuwa pot moja ila wakiwa pot tofauti kuwa kundi moja ni inawezekana.
 
Kupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
Kwa CAF sasa hivi Simba sio underdog, imeanzia round ya pili na vigogo kama Al Ahly, Mamelodi, Raja , Yanga ndio itakuwa underdog sababu ndio mara yao ya kwanza ndani ya miaka 23
 
Sio kweli .Al hilal na El marreikh kuna msimu kama sikosei ni uliopita au wa juzi walikuwa kundi moja na zote zinatokea nchi moja. Kitakacho watenganisha ni endapo watakuwa pot moja ila wakiwa pot tofauti kuwa kundi moja ni inawezekana.
Siyo kweli
 
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.

Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.

Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo ukoje, ila naona hili linaweza kutokea.
Simba SC tuna asilimia 50 game bado mbichi, huyu kocha anaharibu brand yetu sisi ndio wa kucheza aina ya ule mpira first half? Kocha aondoke mapema sana hafai
 
Back
Top Bottom