Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

Mnajadili makundi na watu hawajaingia toka 1998 nikiwa na miaka minne na sasa nina mtoto wa miaka minne, Lazima watachangia kwa mihemko mana wako excited sana.
 
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.

Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.

Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo ukoje, ila naona hili linaweza kutokea.

Mpaka simba apite
 
Yanga asilimia ni 100% maana Al Merreikh hawana ubavu wa kuifunga Yanga 3-0 Kwa Mkapa!

Chance ya Simba ni 50% maana Simba walirudisha goli Baada ya Power Dynamos kubaki 10 uwanjani na Simba waliendeleza papatu papatu Yao! Simba hawakueleweka wanacheza kitu Gani magoli yalikuwa yakipatikana bila utaratibu unaoeleweka!

Sidhani kama Simba wataingia makundi! Itakuwa ndondokela kama walivyobeba ngao ya jamii bila kufunga goli lolote ktk dkk 90! Hata walipofungwa magoli ya wapinzani wao yalikataliwa!
Al Merrikh akija kutangulia kupata goli hapo Kwa Mkapa mtaanza kubana pu.mbu maana akiongeza zikawa 2 na ikaisha hivyo ni mnaenda matuta ambapo mnaweza kutolewa huko. Sasa hizo za kusema sijui lazima washinde 3-0 unazitoa wapi? Hapo Kwa Yanga ni 80% Al Merrikh 20%. Haijaisha kabisa hiyo goli 2 huwa zinarudi.
 
Yanga hajaruhusu goli tangu msimu huu uanze.

Diara anasinzia tu golini kule hawazi ata.

Kiungo wakabaji na beki za yanga wapewe maua.
 
Kwa hiyo hujawahi kusikia ,mpira una matokeo ya kikatili? Ndio huwa hivyo sasa kufungwa ambae haikutegemewa atafungwa.
 
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.

Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.

Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo ukoje, ila naona hili linaweza kutokea.
Moja ya ndoto mbaya sana ya kutisha ambayo makolo wakiiota usiku wanashtuka wakiwa wanaweweseka huku wakivuja jasho mwili mzima ni hii
 
Yanga asilimia ni 100% maana Al Merreikh hawana ubavu wa kuifunga Yanga 3-0 Kwa Mkapa!

Chance ya Simba ni 50% maana Simba walirudisha goli Baada ya Power Dynamos kubaki 10 uwanjani na Simba waliendeleza papatu papatu Yao! Simba hawakueleweka wanacheza kitu Gani magoli yalikuwa yakipatikana bila utaratibu unaoeleweka!

Sidhani kama Simba wataingia makundi! Itakuwa ndondokela kama walivyobeba ngao ya jamii bila kufunga goli lolote ktk dkk 90! Hata walipofungwa magoli ya wapinzani wao yalikataliwa!
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Kulitokea maajabu gani hapo Mkwakwani? Kama ni moto mlipelekewa kuanzia dakika ya 1 mpaka ya mwisho! Ball possession 80 kwa 20!!

Ushindi wa mikwaju ya penati nao ni wa kushangilia mbele za watu!
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana.
Hiv mabingwa wa world cup walichukua kwa njia ipi?????
 
Unajua tofauti ya Preliminary stage and Knockout stage?
Ujue mwanzon kabisa nilisikiaga kuwa simba yeye direct anaingia makundi bila kupitia mtoano, sasa hik kinachoendelea ni nini???

Oyaa GENTAMYCINE

Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana.
Hiv mabingwa wa world cup walichukua kwa njia ipi?????
Bado huo ubingwa utatambulika ni kwa mikwaju ya penati. Hivyo hakuna cha ajabu hapo.
 
Katika football lolote linawezekana... Liverpoool kuna wakati alipigwa 3~0 first half lakini akawa bingwa wa uefa na ilikuwa liver mbovu sana maana ligi ya kwo walimaliza nafasi ya sita akiwa hana sifa ya kucheza uefa msimu unaofata.... Kuna waka barceleno walifungwa 5~0 na psg lakini walipindua meza na kuchukua ubingwa... So el mereck kwa yanga lolote laweza tokea ... Simpba nao mambo yaweza kuwa tofauti... Nin kilimkuta simba na ud songo.. Madrid na tottenham..ac milan na juve.. Ndio maana wakubetisha wanapigaga mkwanja
 
Back
Top Bottom