Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

Kwani Simba anahitaji matokeo ya aina gani ili afuzu hii hatua?
 
Kupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
Kama hujui kitu nyamaza
 
Yan mashabiki wa Tanzania Bana [emoji23][emoji23] mtu hajui kanuni wala sheria analeta ubishi na ujuaji. Tuna Safari ndefu sana kwenye mpira wetu
 
Kwa mdomo tuu hamjambo..
Wazee wa propaganda za mdomo.
Simba ina asilimia 100 za kupita nyie inategemea kama Wakimbizi wakiwa wameshiba siku hyo na stress zimewatoka mtapimana nguvu...
bado hujasema mpka useme,yaaan8 bado bado
 
Kwa mdomo tuu hamjambo..
Wazee wa propaganda za mdomo.
Simba ina asilimia 100 za kupita nyie inategemea kama Wakimbizi wakiwa wameshiba siku hyo na stress zimewatoka mtapimana nguvu...
kumbuka juwaneng galaxy na ile timh ya msumbuji iliwatoa hivi hivi futa kauli ya 100 [emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…