In fact ni 99.99% kwa Yanga na 52% kwa Simba.Hapo kwa Yanga, chance ni 99.9%, Simba ni 60%
Katika underdogs kuna wa kati na chini kabisa......Yanga ni wa chini kabisa. Simba ni wa kati. Kwa hiyo inawezekana. Kwenye rankingKupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
Tatizo Mna umaandazi mwingi hamsomi kuelewa.Yanga hii ni ya kuogopwa kama ukoma, usiichukulie poa kabisa unaweza kuja kuaibika bure.
Droo ya bila kufungana au ya 1-1 au kufunga goli moja na zaidiKwani Simba anahitaji matokeo ya aina gani ili afuzu hii hatua?
Huyo jamaa sio mwanamichezo.kumbuka juwaneng galaxy na ile timh ya msumbuji iliwatoa hivi hivi futa kauli ya 100 [emoji817]
Sio kweli .Al hilal na El marreikh kuna msimu kama sikosei ni uliopita au wa juzi walikuwa kundi moja na zote zinatokea nchi moja. Kitakacho watenganisha ni endapo watakuwa pot moja ila wakiwa pot tofauti kuwa kundi moja ni inawezekana.In fact ni 99.99% kwa Yanga na 52% kwa Simba.
Kujibu swali lake ni vizuri aelewe kuwa CAF huwa hawapangi timu zinazotoka kwenye zone moja wakati wa makundi.
Simba na yanga wote watakua pot 4Simba inawez kutana na yanga kwa sababu simba sasahv anawez ingia pot 3 yanga atakuwa pot4 la vilaza hivo wakinyofoa mmoja kila poti inawez tokea
Diroo ya 1-1, drop 0-0 au ushindi hapo simba watafuzi.Kwani Simba anahitaji matokeo ya aina gani ili afuzu hii hatua?
Asante Kwa somo hili mkuuMwaka 2022 mbona walipanga Al hilal na Al Marekh zote za sudanView attachment 2751456
UEFA huwa timu kutoka nchi moja haziwekwi kundi moja, nadhani hata kwa CAF ni hivyo hivyoNdio utaratibu?Tufafanulie wanavyocheza hizo droo mkuu.
Kwa CAF sasa hivi Simba sio underdog, imeanzia round ya pili na vigogo kama Al Ahly, Mamelodi, Raja , Yanga ndio itakuwa underdog sababu ndio mara yao ya kwanza ndani ya miaka 23Kupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
Simba sio underdogsKupangwa kundi moja haiwezekani. Kwa sababu itakua kwenye kundi moja la underdogs ambalo haiwezekani zikakutana hatua ya makundi labda wakifuzu makundi waende kukutana hatua ya mtoano
Simba pot 2Simba inawez kutana na yanga kwa sababu simba sasahv anawez ingia pot 3 yanga atakuwa pot4 la vilaza hivo wakinyofoa mmoja kila poti inawez tokea
Timu ya super league haiwezi kuwa pot 4,Simba na yanga wote watakua pot 4
Sawa tutakutana nusu fainaliSimba sio underdogs
Siyo kweliSio kweli .Al hilal na El marreikh kuna msimu kama sikosei ni uliopita au wa juzi walikuwa kundi moja na zote zinatokea nchi moja. Kitakacho watenganisha ni endapo watakuwa pot moja ila wakiwa pot tofauti kuwa kundi moja ni inawezekana.
Simba SC tuna asilimia 50 game bado mbichi, huyu kocha anaharibu brand yetu sisi ndio wa kucheza aina ya ule mpira first half? Kocha aondoke mapema sana hafaiMpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.
Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.
Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo ukoje, ila naona hili linaweza kutokea.