Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

bora aende u
pande wa pili naye akawe mpiga kelele zisizo na maana kama wenzie wa chadema
 
Hoja zako wala hazieleweki
Mjibuni mpina siyo mnakimbilia
Kutaka kumuadhibu na mikwala yenu mingi

Ova
 
Mkuu Tlaatlaah wewe kwani ni lazima utetee kila uhuni wa ccm...mwenzako kaambatanisha vielelzo vya jinsi Bashe alivyolidanganya Bunge....wewe unapiga porojo hapa
 
Kwa muendelezo wa majibizano kati ya Mpina na hao mafisadi,unafikiri yeye hajui haya unayowashauri CCM?
Shida ya Watanzania ni Ujinga sio njaa


 
Una uhakika gani kuwa Bashe alisema ukweli na Mpina kasema uongo? Wewe na sisi sote tumesikiliza maelezo ya Mpina kwenye mkutano na waandishi wa Habari. Majority hapa wanaweka NCHI (Taifa) kwanza; wewe unataka itunzwe heshima ya chama ya kulindana. Sasa kama nchi imefikia hapo sasa tuiteje?

Ukiangalia huu ushambulizi kwa Mpina ni very directed/Targeted na systematically; kama ilivyo CCM na criminal syndicate yake. Mnatutayarisha tukubali pole pole mtakapo Fanya mambo yenu.
 
wewe ni mtu mpuuzi sana asie jari raslimali za nchi ni mtu mjinga na unaudini ama ukabila
 
wewe ni mtu mpuuzi sana asie jari raslimali za nchi ni mtu mjinga na unaudini ama ukabila
mihemko si muhimu kwenye majadiliano muhimu kama haya gentleman πŸ’

ni vizuri ikiwa huna hoja wala wazo la maana kwenye hoja yangu ya misingi mezani, ukakaa kimya au ukafanya mambo mengine muhimu kwa manufaa yako na familia yako....

kuliko kuanza kufanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi na kutukana 🀣
 
Azimia kama hili apewe na CAG kwa kuipaka matope serikali na chama
nadhani kama ulifuatilia mjadala wa bunge vyema,

uliona lipo jambo waziri kijana makini na hodari sana, asie choka Mh.Hussein Bashe amemuagiza CAG kushughulika nalo miongoni mwa hoja alizoibua mzushi Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCMπŸ’
 
Pole
 
kwani wew umewahi kumuona Mh.Mpina anamtuhumu mtu mwingine zaidi ya mh.Bashe tangu atoswe kwenye baraza la mawaziri?🀣

anachoamini Mpina, mpka kesho ni kwamba Bashe ndie aliechochea mpka akatoswa uwaziri, kitu ambacho si kweli hata kidogo , wala Bashe wa watu sio rais..

jamaa kajaa chuki na hasira ambazo hazina maana yoyote dhidi ya kijana wa watu, mtulivu, mchapakazi hodari na asie na shida wala matatizo na mtu, wala hata haringi aiseee dahπŸ’
 
Wamaanisha ccm munalinda wezi ndio itikadi yenu? Mpina amesimama kwa maslahi ya umma
 
Kwa muendelezo wa majibizano kati ya Mpina na hao mafisadi,unafikiri yeye hajui haya unayowashauri CCM?
Shida ya Watanzania ni Ujinga sio njaa
kua na heshima basi kidogo dhidi ya waTanzania, jaribu kua na staha kidogo unapozungumzia Taifa katika ujumla wake πŸ’

kwa taarifa yako wajinga waliisha Tz, yafaa ujiasess mwenyewe kwanza physically, mentally and saikolojikali kama upo fiti, kuliko kuhamishia hasira na dharau zako, sijui umezitoa wap , kwa waTanzania wanaendelea kuchapa kazi na shughuli zao kwa bidii na kwa Amani πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…