Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

bora aende u

Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
pande wa pili naye akawe mpiga kelele zisizo na maana kama wenzie wa chadema
 
ndio maana nikwambia mrangi sidhani kama unaelewa uko juu, chini au katikati 🐒

anaemtuhumu mwenzie tena bungeni ndie pekee anaepaswa kuthibitisha tuhuma hizo kwa vielelezo mujarabu visivyo na chembe ya shaka🐒

sasa kama sugar companies wamekurubuni na kukuchochea kwa visenti kidogo, plus hasira za kutemwa kwenye baraza la mawaziri, akidhani ni Bashe ndie alie mchomea kwa mama akamtosa...

hilo ni jambo la kusubiri kamati ya maadili ya bunge itakavyomshauri spika hatua za kuchukua, huku CCM nayo ikijipanga kuiandikia barua Tume Huru Ya Uchaguzi juu ya uamuzi iliyouchukua, dhidi ya mbunge wake mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa 🐒

mrangi,
usisite kunitag na kuniuliza chochote kwa niaba ya wenzako wengine, usichokielewa kuhusu hoja hii 🐒
Hoja zako wala hazieleweki
Mjibuni mpina siyo mnakimbilia
Kutaka kumuadhibu na mikwala yenu mingi

Ova
 
Mkuu Tlaatlaah wewe kwani ni lazima utetee kila uhuni wa ccm...mwenzako kaambatanisha vielelzo vya jinsi Bashe alivyolidanganya Bunge....wewe unapiga porojo hapa
 
Kwa muendelezo wa majibizano kati ya Mpina na hao mafisadi,unafikiri yeye hajui haya unayowashauri CCM?
Shida ya Watanzania ni Ujinga sio njaa

ndio maana nikwambia mrangi sidhani kama unaelewa uko juu, chini au katikati 🐒

anaemtuhumu mwenzie tena bungeni ndie pekee anaepaswa kuthibitisha tuhuma hizo kwa vielelezo mujarabu visivyo na chembe ya shaka🐒

sasa kama sugar companies wamekurubuni na kukuchochea kwa visenti kidogo, plus hasira za kutemwa kwenye baraza la mawaziri, akidhani ni Bashe ndie alie mchomea kwa mama akamtosa...

hilo ni jambo la kusubiri kamati ya maadili ya bunge itakavyomshauri spika hatua za kuchukua, huku CCM nayo ikijipanga kuiandikia barua Tume Huru Ya Uchaguzi juu ya uamuzi iliyouchukua, dhidi ya mbunge wake mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa 🐒

mrangi,
usisite kunitag na kuniuliza chochote kwa niaba ya wenzako wengine, usichokielewa kuhusu hoja hii 🐒
Una uhakika gani kuwa Bashe alisema ukweli na Mpina kasema uongo? Wewe na sisi sote tumesikiliza maelezo ya Mpina kwenye mkutano na waandishi wa Habari. Majority hapa wanaweka NCHI (Taifa) kwanza; wewe unataka itunzwe heshima ya chama ya kulindana. Sasa kama nchi imefikia hapo sasa tuiteje?

Ukiangalia huu ushambulizi kwa Mpina ni very directed/Targeted na systematically; kama ilivyo CCM na criminal syndicate yake. Mnatutayarisha tukubali pole pole mtakapo Fanya mambo yenu.
 
binafs sifahamu,
but nadhani kwa aina ya siasa anazofanya, ni dhahiri tayari ameshajihakikishia destination ya platform miongni mwa vyama vya siasa nchini,

na anafahamu fika kwamba, hawezi kuachwa kuendeleza jeuri na kiburi yake ndani ya CCM, na hawezi tena kuishi ndani ya CCM kwa style ya siasa anazofanya...

anaelekea wapi ni suala la muda tu,

but politically speaking,
sioni akikimaliza kipindi cha bunge kilichosalia, kakiwa mbunge wa CCM na haitawezekana tena kua mbunge wa Upinzani 🐒
wewe ni mtu mpuuzi sana asie jari raslimali za nchi ni mtu mjinga na unaudini ama ukabila
 
mihemko si muhimu kwenye majadiliano muhimu kama haya gentleman 🐒

ni vizuri ikiwa huna hoja wala wazo la maana kwenye hoja yangu ya misingi mezani, ukakaa kimya au ukafanya mambo mengine muhimu kwa manufaa yako na familia yako....

kuliko kuanza kufanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi na kutukana 🤣
 
Azimia kama hili apewe na CAG kwa kuipaka matope serikali na chama
nadhani kama ulifuatilia mjadala wa bunge vyema,

uliona lipo jambo waziri kijana makini na hodari sana, asie choka Mh.Hussein Bashe amemuagiza CAG kushughulika nalo miongoni mwa hoja alizoibua mzushi Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM🐒
 
kwamba ukitoswa kwenye baraza la mawaziri, unakasirika na kuanza kuhisi ati fulani ndie amekuchomea ukatoswa, na sasa unajenga chuki binafsi na gubu dhidi yake kwa kubuni tuhuma za uzushi na uongo eti nae aachishwe kazi, kama yeye mchoma nyavu za wavivu wadogo wanyonge, na mpima ukubwa wa samaki tena waliorostiwa kwa rula 🤣

eti huyu ndie mtu mwema anaekimbia CMC, right?
mtu mwema aliangamiza mamilioni ya vifaranga vya kuku aise dah 🤣
Pole
 
Una uhakika gani kuwa Bashe alisema ukweli na Mpina kasema uongo? Wewe na sisi sote tumesikiliza maelezo ya Mpina kwenye mkutano na waandishi wa Habari. Majority hapa wanaweka NCHI (Taifa) kwanza; wewe unataka itunzwe heshima ya chama ya kulindana. Sasa kama nchi imefikia hapo sasa tuiteje?

Ukiangalia huu ushambulizi kwa Mpina ni very directed/Targeted na systematically; kama ilivyo CCM na criminal syndicate yake. Mnatutayarisha tukubali pole pole mtakapo Fanya mambo yenu.
kwani wew umewahi kumuona Mh.Mpina anamtuhumu mtu mwingine zaidi ya mh.Bashe tangu atoswe kwenye baraza la mawaziri?🤣

anachoamini Mpina, mpka kesho ni kwamba Bashe ndie aliechochea mpka akatoswa uwaziri, kitu ambacho si kweli hata kidogo , wala Bashe wa watu sio rais..

jamaa kajaa chuki na hasira ambazo hazina maana yoyote dhidi ya kijana wa watu, mtulivu, mchapakazi hodari na asie na shida wala matatizo na mtu, wala hata haringi aiseee dah🐒
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Wamaanisha ccm munalinda wezi ndio itikadi yenu? Mpina amesimama kwa maslahi ya umma
 
Kwa muendelezo wa majibizano kati ya Mpina na hao mafisadi,unafikiri yeye hajui haya unayowashauri CCM?
Shida ya Watanzania ni Ujinga sio njaa
kua na heshima basi kidogo dhidi ya waTanzania, jaribu kua na staha kidogo unapozungumzia Taifa katika ujumla wake 🐒

kwa taarifa yako wajinga waliisha Tz, yafaa ujiasess mwenyewe kwanza physically, mentally and saikolojikali kama upo fiti, kuliko kuhamishia hasira na dharau zako, sijui umezitoa wap , kwa waTanzania wanaendelea kuchapa kazi na shughuli zao kwa bidii na kwa Amani 🐒
 
Back
Top Bottom