Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

Iran hakufanya shambulizi la uoga la kushtukiza kama afanyavyo Israel huko Lebanon, Syria nk.

Kwanza kwa kujiamini walitoa taarifa mapema huku wakijua fika taarifa hizo zitawapa nafasi Israel na washirika wake wajipange kulizuia.

Pili baada ya kuona Israel na washirika wake wameshajipanga kuzuia akafungulia bomba ili aone panapovuja. Na kweli ikabainika kuwa vifaa vyao vyote vya kuzuia vinavuja. Maana Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujeruman, Jordan, Saudi Arabia na Israel yenyewe walianza kuzuia kuanzia Iraq, Saudi Arabia, Syria, Jordan nk, lakini mzigo umepita kilometres zaidi ya elf 2000 hadi katika nchi husika.

Sasa jiulize kama Iran isingetoa taarifa au Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Jordan wasingeisaidia kuzuia hali ingekuaje.
Kwa hiyo umekaa hapo kijijini kwenu ukiidhania Israeli ni kama ilivyo familia yenu isiyojielewa?
 
Iran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Taratibu mtapata na akili kila siku ziendavyo kuwa Israel c taifa la Mungu kama mnavyo danganywa na bibilia zenu nchi zote ni za Mungu tu.

Dini ni moja tu Uislam.
 
Usalama wa Taifa la Israel upo mikononi mwa Israel na sio nchi zingine, akili zao na maamuzi yao ndio yatafanya aidha nchi yao iwe salama ama wapigike
Nani amekudanganya wewe,tatizo mna amka mapema kuvuta bhangi bira hata kunywa chai.
 
Iran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.

Mazayuni hawatabaki salama maisha yao yote.
 
Kwhyo wafanyaje sasa...maslahi ya uchumi yapi??...kuiba mafuta middle east au....Wampe silaha Israel halafu aingie kati wqdundane na hao waajemi tuone nani ni nani....inatakiwa ifikie wakati kila mtu ajue mipaka yqke ni wapi na aishie wapi....dhulma haiwezi kutawala milele maana unaowadhulumu bdo wataendelea kutafuta namna ya kutokudhulumiwa na kuonewa na hapo maugomvi na mavita hayatakaa yaishe
Israeli ndio anadhulumiwa na majirani zake.
 
Kuishi kwa kuweweseka ndo kukoje huko....kulinda meli zako za biashara ndo kunaitwa kuweweseka siku hizi....kuondoa makamanda wako nchi nyingine waje nyumbani kuongeza nguvu ndo kuweweseka sio[emoji1783][emoji1783]...sisi tunasubiri vikao vya Netapaka viishe waje na mashambulizi ya kujibu tuone mtanange....haya manenomaneno waachiwe wakinamama
Netapaka tena???khaaa umejua kunichekesha jioni hiii
 
Iran ingekua na uongozi wenye staha isingekua kinara wa kufuga magaidi duniani.
Kama akili zako ndio hizi hufai hata kujibiwa hoja zako, nchi zote zikizoendelea zina vikundi vyao vya kujihami na kushambulia, marekani , russia , israel etc sema tatizo lako ni hadi marekani aseme fulani ni gaidi na wewe unabwabwaja, hadi mandela aliitwa gaidi na hao wazungu wako wakati anapigania haki kwenye taifa lake, hivi huko shuleni mnaendaga kufanya nini kama mnashindwa hata kufikiri
 
Iran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Nyie ndo mlikuwa mnasema anaitafutwa ni iran... mwenye kiburi ni nani kama sio Israeli. Ndio tusema iran anakiburi mtamfanyeje
 
Kwenda zako! Ndo maana aliondolewa kama sio photo edit basi ni propaganda! Kitu ambacho Israel hawezi kufanya ni kuchokozwa na akakaa kimya! Israel ni taifa la vita miaka yoote! Lilianzishwa kwa vita na linaishi kwa vita! Huwezi kuchokoza Israel ikanyamaza kimya! Israel ni kama Marekani! Mchokoze marekani huone kama atakunyamazia! Kwenye uringo wa kijeshi kuchokozwa ukakaa kimya kunaitwa "coward" yahani "mwoga"
Shikamoo Dini.
 
Back
Top Bottom