kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tunakufananisha na gaidi unayemtetea kisa UKABILA.Nawafananisha na mbwa wa mtaani MTU yoyote anayedhani anachofanyiwa Mbowe ni haki
Na kitawarudia wao wenyewe, Mbowe hajaanza kushitakiwa leo lakini kesi zake zote hushindaNawafananisha na mbwa wa mtaani MTU yoyote anayedhani anachofanyiwa Mbowe ni haki
Tena ana maovu menge snWewe ndiyo ulikuwa haujui ila JAMBAZI sabaya alikuwa analalamikiwa muda mrefu sana au haujawahi kumsikiliza Swai alivyosema kwamba Atoe kwa kupenda au Makonda style? Haukusikia Sabaya alipiga walinzi ili aende akambake Nandy?
Tena ana maovu menge sn
Alikuwa ni jangili mkuu na siyo kiongoziYa kutisha hayo ni yale ambayo yamewekwa wazi bado yale ambayo watu walipotezwa kimya kimya bila kupata nafasi ya kuja kuyaeleza,bado ya ubakaji ambayo ushahidi wake ni ngumu kuthibitisha maana waliotendwa hawakureport siku ile ya ubakaji na kuweza kupimwa.
Kama mbowe alivyo muua Chacha wangwe na mlinzi wake pamoja na ben saanane tukasema mkakataa hapa sasa wacha majibu yake yatoke ndo mtajua kumbe ilikuwa ni kweli.Ni hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
Kwa ushahidi wa nani kwamba lilikuwa genge la hao uliowataja?Ni hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
Ni aibu kubwa snNi hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
Kwani ili mtu matendo yake yaonekane kuwa ni ya uongo au ukweli inatakiwa yathibitishwe wapi?Matendo ya Sabaya kuna mtu alikuwa hayajui? Mbowe amewahi kushitakiwa na mwananchi wa kawaida zaidi ya polisi? Sabaya ana kesi kibao
Kwa uthibitisho upi?Wewe ndiyo ulikuwa haujui ila JAMBAZI sabaya alikuwa analalamikiwa muda mrefu sana au haujawahi kumsikiliza Swai alivyosema kwamba Atoe kwa kupenda au Makonda style? Haukusikia Sabaya alipiga walinzi ili aende akambake Nandy?
Ushahidi wake umethibitishwa kwenye chombo gani?Ya kutisha hayo ni yale ambayo yamewekwa wazi bado yale ambayo watu walipotezwa kimya kimya bila kupata nafasi ya kuja kuyaeleza,bado ya ubakaji ambayo ushahidi wake ni ngumu kuthibitisha maana waliotendwa hawakureport siku ile ya ubakaji na kuweza kupimwa.