Hatukujua uhalifu wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha, tuwe na utulivu yajayo yanafurahisha

Hatukujua uhalifu wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha, tuwe na utulivu yajayo yanafurahisha

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
IJUMAA KAREEM

Wengi wao nami ni mmojawapo hatukujua upande wa pili wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha vitendo vyake vya kihalifu alivyovifanya, hapa somo linakuja tusikauke mate wala kukaza shingo kutetea watu tusiowajua upande wao wa pili wala tusioishi nao na kujua nyendo zao za siri.

Naona tunakazana tu kuandika miujumbe wacha tusubiri mahakama zetu ziamue kwa haki kama zilivyotenda kwa wengine, somo zuri la binadamu usiyemjua ni wale Wabunge 19 kule bungeni nani alijua matendo yao.

Angalizo tuwe wapole yajayo yanafurahisha.

Mahakama itatenda haki !
 
Kama kwa Sabaya mahakama imetenda haki hata kwa Mbowe imetenda haki. Mkuki kwa nguruwe
 
Ni hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
 
Hakuna untouchables nchi hii, kama mbowe atathibitika kuwa gaidi basi wacheni nkanyee mtondoo.

Wewe kiongozi wa chama halali cha siasa,unaanzaje mahusiano na makomandoo waliofukuzwa jeshini?

Halafu watu mnapasukwa mishipa ya shingo,bila kufanya tafakuri.
 
Matendo ya Sabaya kuna mtu alikuwa hayajui? Mbowe amewahi kushitakiwa na mwananchi wa kawaida zaidi ya polisi? Sabaya ana kesi kibao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha bhana!

Kwa sabaya mahakama imetenda haki.

Kwa gaidi mahakama haiko huru.
 
Ni hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
Kama mbowe alivyo muua Chacha wangwe na mlinzi wake pamoja na ben saanane tukasema mkakataa hapa sasa wacha majibu yake yatoke ndo mtajua kumbe ilikuwa ni kweli.

== Sumu haionjwi==
 
Ni hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
Kwa ushahidi wa nani kwamba lilikuwa genge la hao uliowataja?
 
Ni hivi, kundi la Magufuli, Makonda, Sabaya na lile genge lake la watu wasiojulikana, tuliweka sana ukatili wao hapa jukwaani na hadharani. Watu wengi walitekwa, kuuwawa na kufanyiwa unyama na hilo genge, nyie watetea ukatili ndio mlikuwa mnajifanya kufumbia macho ukweli ule.
Ni aibu kubwa sn
 
Matendo ya Sabaya kuna mtu alikuwa hayajui? Mbowe amewahi kushitakiwa na mwananchi wa kawaida zaidi ya polisi? Sabaya ana kesi kibao
Kwani ili mtu matendo yake yaonekane kuwa ni ya uongo au ukweli inatakiwa yathibitishwe wapi?
 
Wewe ndiyo ulikuwa haujui ila JAMBAZI sabaya alikuwa analalamikiwa muda mrefu sana au haujawahi kumsikiliza Swai alivyosema kwamba Atoe kwa kupenda au Makonda style? Haukusikia Sabaya alipiga walinzi ili aende akambake Nandy?
Kwa uthibitisho upi?
 
Ya kutisha hayo ni yale ambayo yamewekwa wazi bado yale ambayo watu walipotezwa kimya kimya bila kupata nafasi ya kuja kuyaeleza,bado ya ubakaji ambayo ushahidi wake ni ngumu kuthibitisha maana waliotendwa hawakureport siku ile ya ubakaji na kuweza kupimwa.
Ushahidi wake umethibitishwa kwenye chombo gani?
 
Back
Top Bottom