kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
IJUMAA KAREEM
Wengi wao nami ni mmojawapo hatukujua upande wa pili wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha vitendo vyake vya kihalifu alivyovifanya, hapa somo linakuja tusikauke mate wala kukaza shingo kutetea watu tusiowajua upande wao wa pili wala tusioishi nao na kujua nyendo zao za siri.
Naona tunakazana tu kuandika miujumbe wacha tusubiri mahakama zetu ziamue kwa haki kama zilivyotenda kwa wengine, somo zuri la binadamu usiyemjua ni wale Wabunge 19 kule bungeni nani alijua matendo yao.
Angalizo tuwe wapole yajayo yanafurahisha.
Mahakama itatenda haki !