Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

sio hivyo jamani. Juzi nimehangaika kweli. Sahvi sikumbuki niliwezaje.
Nitamuuliza invisible kama hutaki kunielekeza.
Kwenye mobile ni ngumu lakini kwenye pc/laptop unabonyeza kitufe cha thanks na inatokea saa hiyohiyo.
 
Kama hutaki si umwambie tu kuliko kumchana live mwenzio wewe.
Atajisikia vibaya bana

mbona dada dena alipontaka nilimjibu kistarabu mpaka akanielewa. husniyo pia hivyo hivyo. na yule mwingine nani?
 


Ha ha ha umenichekesha mpaka basi lakini nashukuru kwa kunipa usingizi
 

umeona eeee
 
mbona dada dena alipontaka nilimjibu kistarabu mpaka akanielewa. husniyo pia hivyo hivyo. na yule mwingine nani?

Halafu tuliyamalizia huko huko tukaendelea kunywa maji ya Ilala. Halafu wewe mbona ile bill hukulipa?? Una kesi
 
yap, uporoto ni street which i was born

subzero,

Ungeandika FAO - Kiongozi uporoto1 angekuelewa!

BTW:: Wewe ulizaliwa street au hospitali? Labda umelelewa na umekulia Mtaa wa Uporoto? right?
 

Umenena vyema sana BAK huwezi kumzuia mtu kukutongoza cha muhimu ni msimamo wako ndio kinga kwako na maisha yako yote hapa duniani
Pia kuna mmoja kasema Trusme ka-join Jan 2011 tayari kishatongozwa na kuamua kukutana nao ,sasa sijui ni wangapi kakutana nao
Na nikijaribu kuangalia January haijaisha tayari kishatoa malalamiko
Au inawezekana huyu ni member mkongwe kaamua kuja na new ID ili kutoa dukuduku late?
 

Inawezekana kabisa
 
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?

Jibu ni, tusiwakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…