mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
mbona hata Rose1980 nae anakonyeza au ni fataki nni kaweka jina na picha ya mwanadadammh mmh !!!!
aya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hata Rose1980 nae anakonyeza au ni fataki nni kaweka jina na picha ya mwanadadammh mmh !!!!
aya.
Kwenye mobile ni ngumu lakini kwenye pc/laptop unabonyeza kitufe cha thanks na inatokea saa hiyohiyo.sio hivyo jamani. Juzi nimehangaika kweli. Sahvi sikumbuki niliwezaje.
Nitamuuliza invisible kama hutaki kunielekeza.
Kama hutaki si umwambie tu kuliko kumchana live mwenzio wewe.
Atajisikia vibaya bana
Ok ebu twende slow:-
"..,,,Mambo mtoto mzuri?, vipi umeshatoka job?, nimekuwa nikisoma mabandiko yako hapa JF kwa kweli yananivutia sana na sijui imekuwaje kila unapobandika huwa nasikia roho "inapasuka"! Kha! Anywayz nadhani ni mipango ya Mwenyezi mungu, lakini yaani nashindwa hata kuelezea.. Mimi naishi Mwanza ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari Sengerema, vipi wewe unaishi wapi na unafanya kazi gani?
Mimi nimeoa nina mke na watoto saba, na maisha yanaenda, namshukuru Mungu.. Kama hutajali ningependa tuwe marafiki wa kawaida tuwe tuna-chat hapa JF na ikiwezekana siku moja tutaweza kuonana na kuongea mengi.. Bye kwa leo.. Namba yangu ya simu ni +2711505800800 Mwanza. . Jioni Njema ............."
Samahani wakuu hii ni sampo ... Baba_Enock ni Paroko!
Nani kamtongoza dada yake huyu?
![]()
Anyway nawasiwasi kuwa huyu mama alitongozana na mtu kwenye PM wakakutana wanakojua wakamalizana, na yule mtu akamchunia moja kwa moja labda alijua atamwoa ....... ID kabadili na simu haipatikani so this was ze onlyi wei tu deliva the meseji.
mbona dada dena alipontaka nilimjibu kistarabu mpaka akanielewa. husniyo pia hivyo hivyo. na yule mwingine nani?
Fao ? sijakuelewa.sory uporoto 1 unakaa fao?
hivi Dena na BE
mmesha gawa kila kitu 50/50
Hatutongozani tena sie sasa hivi ni kukutana na kula vitimoto na maji ya Ilala. Ha ha ha wewe bado unatongozwa??
haya mchukue BE mkalale
Humu ndani kuna WABABU, WABABA, WAKAKA, na WATOTO. Sasa utawatambuaje WABABA?
Fao ? sijakuelewa.
yap, uporoto ni street which i was born
subzero,
Ungeandika FAO - Kiongozi uporoto1 angekuelewa!
BTW:: Wewe ulizaliwa street au hospitali? Labda umelelewa na umekulia Mtaa wa Uporoto? right?
Popote pale ambapo kuna mkusanyiko wa Wanaume na Wanawake iwe mashuleni, vyuoni, makazini na hata katika zile nyumba zetu takatifu za ibada makanisa na misikiti n.k. kutongoza na kutongozwa ni kama kawa. Wajibu wako kila unapotongozwa na mtongozaji ni kukubaliana naye au kukataa utongozaji toka kwake.
Kwa ushauri tu itakuwa vizuri ukiweka signature yako na isomeke hivi, "Mibabu na Mibaba ya JF tafadhali msinitongoze."
Always remember that Mibabu na Mibaba ya JF need love too :behindsofa:
Have a great day
Umenena vyema sana BAK huwezi kumzuia mtu kukutongoza cha muhimu ni msimamo wako ndio kinga kwako na maisha yako yote hapa duniani
Pia kuna mmoja kasema Trusme ka-join Jan 2011 tayari kishatongozwa na kuamua kukutana nao ,sasa sijui ni wangapi kakutana nao
Na nikijaribu kuangalia January haijaisha tayari kishatoa malalamiko
Au inawezekana huyu ni member mkongwe kaamua kuja na new ID ili kutoa dukuduku late?
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
Mimi nina apply kwenye hivyo vyote vitatu