Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

Kung’olewa hakutoshi, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria kwa kauli hizo tata?
Tatizo kubwa siyo kauli, ni vitendo.
Kupambana na kauli ni kama kuficha uchafu chini ya kitanda, viti,.... katika nyumba yako.
Kosa kubwa lililofanyika na linaloendelea kufanywa ni kuwateua watu wanaotumia nguvu, wapiga debe, machawa,.... wasio na akili kuwa viongozi.
Tunahitaji kujipanga upya (hasa kwenye chama tawala (CCM) na serikali.
Lazima kuwa na succession plan vinginevyo taifa litaangamia.
Nafasi za kuteuliwa ziwe kwa watu waliofanyaka kazi katika taasisi fulani na kufahamika badala na vijana wadogo wapewe uzoefu kwanza ili wafahamike tabia na uwezo wao.
Sifa za kuteuliwa zisiwe kufanya mambo ya porini.
 
Huna lolote
Wewe upo hapa as CHAWA na si vinginevyo.

Yule mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyesema kuwa watawateka nyara na kuwapoteza wakosoaji wa Rais mmemfanya nini kama siyo utaahira wa kusifia na kuabudu?
 
aisee tlaatlaah kazi anayo anajaribu kupaweka sawa mara paap mwingine kaliamsha tena kinyesi juu ya meza ya chakula
Neema na Baraka za Mungu zanipa nguvu uwezo na maarifa zaidi kurekebisha haya yote,

acha tu wachafue nitasafisha, na itafahamika tu, uongozi ni karama, uongozi ni jalala ndrugu yangu daktari wa porini huko ndrani ndrani kabisa πŸ’
 
Kung’olewa hakutoshi, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria kwa kauli hizo tata?
Kauli tata kivipi wakati huo ndio ukweli? Yaani, wapinzani tu ndio walishindwa kujaza fomu kwa usahihi halafu CCM waliweza wote? Wanang'olewa kwa sababu wanatoa siri na si kwa sababu wanasingizia serikali na CCM.
 
Mbona wenzake wanaosemaga Siri za wazi na ukweli wa yaliyojificha chamani na serikalini wanatenguliwa?🀣🀣
Kwanini msije tu hadharani mkakiri maovu yenu ili wadanganyika waelewe umuhimu wa hizo 4RS?
Kwanza ilibidi aeleleza kwa uwazi chimbuko la hizo 4Rs. Hapo huyo DC anamsaidia kuonesha umuhimu wa hizo 4Rs, halafu anatumbuliwa!
 
Swali fikirishi je wewe data hujizimi, hahahaa, kwa uhalisia mambo mengi kwenye jamii yanakwama kwasababu ya watu kuahirisha kufikiri kwa nafsi, mimi nailaumu jamii kwakunyamaza inawezakana imenyamazishwa je itanyamaza hadi lini nini madhara yake, (silent society), nakuomba pia usome kuhusu ostracism utanishukuru
 
Huna lolote
Wewe upo hapa as CHAWA na si vinginevyo.

Yule mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyesema kuwa watawateka nyara na kuwapoteza wakosoaji wa Rais mmemfanya nini kama siyo utaahira wa kusifia na kuabudu?
nimefurahi umeelewa vyema hoja ya msingi na dhamira ya dhati ya Dr Samia Suluhu Hassan, nakushukuru sana kwa ungwana wako kwenye hilo....

lakini hilo la pili,
nadhani chama husika kina taratibu zake katika kuchukua hatua kwa viongoz wake waandamizi na wanachama wanao kwenda kinyume na malengo mahususi ya chama husika....

fuatilia vizuri,
kuna hatua za kurekebisha mambo kama hayo huko kagera na maeneo mengine nchini..πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Neema na Baraka za Mungu zanipa nguvu uwezo na maarifa zaidi kurekebisha haya yote,

acha tu wachafue nitasafisha, na itafahamika tu, uongozi ni karama, uongozi ni jalala ndrugu yangu daktari wa porini huko ndrani ndrani kabisa πŸ’
aisee upepo unavuma kwa kasi sana utakwama, kwa sasa nyeti za kuku hadharani
 
Haya sasa
Chaula
Soka
Mbise
Na wengine mmewapoteza na kuwaficha wapi?

Maana baada ya Mkiti wa UVCCM kutoa msimamo, utekelezaji ukaanza maeneo mbalimbali hususan ikumbukwe assassination attempt kwa Sativa ilifeli na akaelezea namna pale Oysterbay Polisi alivyotulizwa gereji na kuanza kushughulikiwa.

Uache kutufanya majuha. CCM ndiyo mhusika mkuu wa huu upuuzi, dola inatumika tu
 

Lucas mwashambwa Una ID ngapi?
 
ntajitahid kusoma hiyo Ostracism nione kuna nini hasa ndani yake...

kama nilivyoeleza awali,
nchi ni tulivu, nchi ina amani na inchi inafuraha...

hakuna mambo yanayokwama kwenye jamii hasa za kiTanzania, na wala hakuna mwananchi anae nyamazishwa kusema au kutenda jambo lenye maslahi kwake na kwa Taifa...

mambo yanakwama vipi wakati maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao yanaendelea vizuri, mambo yamekwama vipi vyama vya siasa vinafanya mikutano ya hadara na maandamano kwa uhuru bila mbambamba yoyote,

mambo yamekwama wap wakati biashara, uwekezaji, utalii, kilimo na viwanda vinaendelea kuzalisha bila mbambamba yoyote?πŸ’

au wewe ndio umekwama na kunyamazishwa na maajabu ya vijana wadogo ulowaacha kijijini hivi sasa wanamiliki majumba na magari ya kifahari?πŸ’

kila kijana wa nchi hii hivi sasa, ana matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto na matarajio yake ya maisha chini ya uongozi wa Dr Samia Suluhu Hassan, πŸ’

ama nasema urongo ndrugu zango?
 
Gentleman,
haya unayonieleza actually si mapya bali unayaongeza kadiri muda unavyosonga....
Nadhani ni muhimu kuyaeleza yote na upate relief kubwa na ya kutosha zaidi moyoni,

hata hivyo,
hayo yote yako chini ya uchunguzi wa vyombo imara vya ulinzi na usalama wa nchi yetu, ni muhimu tukawapa nafasi wafanye kazi yao kwa uhuru na kwa nafasi..

sawa gentleman,
kua muungwana isije kuathiri uchunguzi unaoendelea πŸ’
 
ni muhimu sana jambo hilo kuzingatiwa na kukumbusha mabiresho zaidi, japo ndivyo inavyofanyika pia hata sasa πŸ’
Hata ufanye veting vipi makada wa CCM hawana uwezo wa kuongoza wala kufanya lolote kusogeza nchi hii mbele.

Ona tu madudu yanayofanywa huko wilayani ,wizarani unajiuliza huyu mtu alisoma kweli.
 
Mimi naandika kitabu fikirishi cha ujasiriamali na ni mjasiriamali nakiandika miaka 35 baada ya kupata elimu ya ujasiriamali na kufanya ujasiriamali nafahamu kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike kwa hiyo usi sifu sanaa, not ready to be brain washed
 
Ndugu yangu ipo namna hii.
Serikali inayoteka nyara, kutesa na kuua raia wake haina moral authority kujichunguza kwa matukio inayoyatekeleza. Kwani nani hajui luwa Wambura ni mahiri sana kushughulikia na hata kudhuru maisha ya watu kimya kimya? Unadhani tumesahau wale watoto walioljwa wanachukuliwa na vikosi kazi vya polisi kisa panya road na wanakutwa montuary?

Mimi namfahamu Wambura kuliko mnavyojifanya kututaka tumuamini na jeshi lake.

Hapa mzee, tumeshaanza kupiga hodi vyombo vya kimataifa ili serikali hii ichunguze na kikundi chake cha kigaidi ndani ya polisi
 
Hata ufanye veting vipi makada wa CCM hawana uwezo wa kuongoza wala kufanya lolote kusogeza nchi hii mbele.

Ona tu madudu yanayofanywa huko wilayani ,wizarani unajiuliza huyu mtu alisoma kweli.
no,
ni kwamba si rahisi kubaini kilichopo ndani ya mayo wa mtu japo vyeti nastakabadhi za elimu ni nzuri mno, hatuwezi kumuacha mtu mwenye vyeti vizuri namna hiyo, atapatiwa kazi tu...

Baada ya kumpatia kazi,
atafuatiliwa utendaji wake na wengine huanza kujidhirisha wao wenyewe jinsi walivyo mbele ya umma kama huyo muungwana alietenguliwa jana wengengine waliotanguliwa hapo kabla πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…