Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Taken my bro.
 
kama bado hujawa na maisha stable hutakiwi kuwa na malengo na mwanamke labda yeye ndo awe na malengo na wewe.
Hata ukiwa na maisha stable chukua muda kumsoma uyo mwanamke kabla ya kuwa na malengo naye. Kumbuka mke ndie atakua mshauri wako, mkeo ndio ataambatana na wewe kwenye kila mapito, mkeo ndie atakua mama wa watoto wako, kwaiyo usiangalie kigezo cha uchumi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…