Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Bila ya wewe uyo mwanamke hatokufa, acha kujipa stress ili upate sifa za kijinga, eti responsible boyfriend, unapigwa mwanangu.

Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa hata usisumbue akili wala nafsi yako, na akinuna akatishia kuondoka mfungulie mlango aende.

You don't owe your girlfriend a lifestyle her father cannot give her. Don't allow any woman to put you under pressure in this life, most of them are absolutely liability in your life.

The key is to put your plans first and chase money, striving to satisfy a woman will not add anything significant in your life.

Prioritze yourselves my brothers, these hoes aint loyal.
Taken my bro.
 
kama bado hujawa na maisha stable hutakiwi kuwa na malengo na mwanamke labda yeye ndo awe na malengo na wewe.
Hata ukiwa na maisha stable chukua muda kumsoma uyo mwanamke kabla ya kuwa na malengo naye. Kumbuka mke ndie atakua mshauri wako, mkeo ndio ataambatana na wewe kwenye kila mapito, mkeo ndie atakua mama wa watoto wako, kwaiyo usiangalie kigezo cha uchumi tu.
 
Back
Top Bottom