Have a Great one! Mr Miller

Have a Great one! Mr Miller

Aahahahahaa jamaniiii,

Mbona Dadii asione kuwa sie si watu wazuri?
Ila nimeshajua, ukimjulia mnyamwezi (yaani ukijua codes -mahala pa kubonyeza) utakula mema ya nchini ambayo hujawahi kujua kama yapo, ndo maana wanasemaga tunawafilisi hapana, tunauwezo wa kuhimili mizigo mizigo na siri nyingine kibao.

Polee kwa mzee wako kufilisiwa, na ukute hapo hakupewa mahaba yote....

Ila kama itapelekea nikuue hapana, basi naomba nikae mbali nawe. Napenda sana kula bata na kustarehe, mambo ya mada kesi nayaogopa hatarii.

Kasinde.
Hahahahahaha
Kasie matataaa!!
 
basi homie nimeacha kucheka! [emoji850]

mmh kwenye upole kuliko utata natamani kukutetea lkn naona ngumuu!!!

sema ni kweli homie wewe ni mpole ila hawajakuelewa tu, naomba nikutafute leo!

Woyooooo unanitafutia wapi homie!!??

Ila leo ungemaliza besdei. Mie nipo juzi jana leo kesho kesho kuwa na mtongogoo.

Kasinde.
 
Back
Top Bottom