Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahaAahahahahaa jamaniiii,
Mbona Dadii asione kuwa sie si watu wazuri?
Ila nimeshajua, ukimjulia mnyamwezi (yaani ukijua codes -mahala pa kubonyeza) utakula mema ya nchini ambayo hujawahi kujua kama yapo, ndo maana wanasemaga tunawafilisi hapana, tunauwezo wa kuhimili mizigo mizigo na siri nyingine kibao.
Polee kwa mzee wako kufilisiwa, na ukute hapo hakupewa mahaba yote....
Ila kama itapelekea nikuue hapana, basi naomba nikae mbali nawe. Napenda sana kula bata na kustarehe, mambo ya mada kesi nayaogopa hatarii.
Kasinde.
basi homie nimeacha kucheka! [emoji850]
mmh kwenye upole kuliko utata natamani kukutetea lkn naona ngumuu!!!
sema ni kweli homie wewe ni mpole ila hawajakuelewa tu, naomba nikutafute leo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfuga mbwa wa Tandale nishakuwa wakimataifa?
Njoo nikuuzie puppy
Hahahahahaha
Kasie matataaa!!
Kikotoo changu kimezima mkuu baada ya kupopulate hizi coordinates[emoji23][emoji23]
hahaha pole
Hizo location unaweza jikuta unefika kuzimu. Excuses lazima.Unvyopenda excuses sasa[emoji119]
Kwamba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikimbie usije ukani include kwenye kambi.[emoji13]
mtwara nanjilinji hiyo!
karibu
Aaabeeeh.....!! Umeniita.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo location unaweza jikuta unefika kuzimu. Excuses lazima.