Have You Ever.......


nimeipenda..
nilifikiri nipo peke yangu, kumbe tuko wengi...
 
 

Hukatazwi kuonesha hisia zako lakini unapoingia kwenye mahusiano elewa kwamba , u only know urself well lakini alichoficha mwenza wako kwenye moyo wake haukijui, so steps hizi ni muhimu (to me)

1) Learn your partner well (though u will never understand him/her 100% . take it from me).
2) After learning him/her ,Level him/her on what she/he deserves
3) Respect him/her and love him/her as per his/her level (refer no 2 above)
BUT
4) Always Balance ur feeling (Unaweza kabisa kumpenda mtu na akajua kwamba unampenda na at the same time akaelewa kwamba akiamua kuleta za kuleta, u r ready to face it na hautotetereka na ukiweza kubalance hii beleive u me, u r a star )
 
 
Hapa sasa nimekupata lol, kama ni mpya hakuna shida kabisa maana hata yeye atakua anajifikiria fikiria aanzaje so ukishaonyesha dalili ............................................................
Kwa hiyo amwambie live au ampe ma bodi language?
 
 
4) Always Balance ur feeling (Unaweza kabisa kumpenda mtu na akajua kwamba unampenda na at the same time akaelewa kwamba akiamua kuleta za kuleta, u r ready to face it na hautotetereka na ukiweza kubalance hii beleive u me, u r a star )

Sometimes we use too much energy in trying to understand somebody's feelings..What is the balance, and are the metrics?
Mie nafikiri kama upo kwenye mapenzi, toa upendo kwa asilimia zote (100%), akikutenda na akutende tu..He/she is not perfect.
Maumivu ya kuachwa na umpendaye yapo..lakini huwezi kulazimisha penzi kwa mtu asiyekupenda. And the principle of love is based on giving... Yaani kama unaishi kwa kutegea tegea, ili kumpima uone kama anakupenda au la (kwa kusubiri zawadi au kitu chochote kuonyesha ishara ya upendo) ni kujidanganya na hapo ni kuishi nje ya sheria ya upendo.

Kila mtu akijifunza kutoa upendo na sio kupokea, sidhani kama machungu haya tungekuwa tunayapata na kutuathiri kiasi hiki. Tatizo letu tuna-ubinafsi sana kwenye mapenzi..eti asipofanya hiki basi hanipendi, au akifanya kile basi atakuwa ananipenda..a TRUE love will always give..
 
Narudia tena mapenzi ni how you take and make of it. ukitaka kufurahia jichanganye na sahau all the possibilities...

Hapo ndo maana halisi ya mapenzi..( 'TRUE' Love keeps no record of wrongs, always protects,trusts,hopes and perseveres)
 
ZANTA kibaya si ni kuvunja NDOA ya mtu si ndio? What if umpendaye bado hajaoa/olewa but ana mahusiano yasiyo rasmi? Unaruhusiwa kurusha ndoano?

sawa hawajaoana, kwani ndo hawapendani? kwani wapendanao wote lazima wafunge ndoa? ukirusha ndoano yako anaweza kukukubalia sababu ya tamaa zake lakini baada ya mda akamrudia ampendae vip utalaumu kwamba amekutenda, my dear sisy tafuta asiekuwa na mtu tena huyo atakusimanga sana baadae kwamba unamng'ang'ania tu
 
Kwanza: lazima tukubali kwamba Love is a two way traffic, itakuwa unajidanganya kusema kwamba utapenda bila kuweza kuangalia upande wa mwenza wako.

Pili: kuna kitu human nature ambacho huwezi kukiepuka katika kuleta analysis ya kila linalomuhusu binadamu, nakusudia kusema kwamba ni maumbile ya binadamu kubadilika kila anapokuwa juu, ni wachache sana ambao wanabakia na tabia zao sawa wakiwa juu na wakiwa chini kimaisha,kicheo,kihadhi n.k.

Tatu: Hivi hauwezi kumpenda mtu mpaka umuoneshe kwamba yeye ndio kila kitu chako? yaani hakuna tena uhai/furaha/bashasha kama atakuacha?

CONCLUSION:
Mimi nampenda ninaempenda 100% kabisa na anaelewa hilo lakini at the same time anajua kwamba leo hii akiboronda basi kesho niko sokoni kutafuta mwari mpya, so she loves me back.
Kubadilika kwa mtu sometime kunachangiwa na udhaifu wa kibinadamu sometime, hata mimi nikiona mdada unajigaragaza sana kwangu nitajiskia matawi ya juu na nitaanza kiburi. Its a human nature.
 

Mpendwa hapo nilipobold, u've spoken my mind. Ule wakati wa nyie kuwa pamoja mpaka mkakubaliana kuwa kwenye uhusiano (siyo first sight) na kila mtu akiamini mwenzie anampenda kwa dhati hiyo kwangu inatosha kuishi bila majuto baadae. Will deal na matokeao just in case mambo yakienda vibaya lakini kwa sasa naomba niwe full kumpenda.
 
ok naona hapa sasa kila mtu kajua maana ya kupenda,kupendwa,kutenda na kutendwa,haya sasa enendeni kwa Amani na mkayatende yale yoooote yaliyo mema katika kupendwa na kupenda na zaidi tukatende mema sio kutenda mabaya mwishowe tutendwe
Remember it begins with you.
 
 
"Anything can happen" niliokusudia ni ile ya expectation na sio ya beleive, hivi unajua sababu nyingi za suicide ni zile za "higher expectation failure", labda nifafanulie ni upi uhusiano wa "uoga" na "expectation"?.
Kiongozi naaona unaanzisha darasa ngoja nikae siti ya mbele
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…