Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
My dia mimi naamini ktk mapenzi, na imani yangu ni kuwa when i say "i do" ama ninapoamua kureciprocate someones love, i mean it from every bit of me.......yaani ni kupenda tu kwa kwenda mbele na sio vinginevyo. Sina sababu ya kuishi kwa mashaka na wasiwasi eti ohh nitaumia, sijui nitavunjwa moyo.....kwa sababu hakuna kitu kinachodumu milele, watu wanakufa bila kujiandaa itakuwa mapenzi after all maisha yenyewe mafupi haya kuishi kwa kujibana bana kisa........lol
nimeipenda..
nilifikiri nipo peke yangu, kumbe tuko wengi...