Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Nakubaliana nawe 100% sasa waache walio kwenye ndoa waanze kudai malipo Kama hawajashangaa kesho analetwa mwanamke mwengine ndani ya nyumba [emoji1][emoji1]
NI KWELI KWASABABU KUNA WANAWAKE ROHO ZAO ZINAUMIA SANA WAKIONA WENZAO WAMETULIA KWENYE NDOA ZAO, SASA KUTOKANA NA STRESS WALIZONAZO WANATAKA KUWAJAZA UJINGA WENZAO ILI NAO WAACHIKE WAZIDI KUONGEZA IDADI YA SINGLE MOTHER WENZAO.
 
Wew ndo hujaelewa apo anezungumziwa mke kulipwa na sio mfanyakaz kama mfanyakazi sijui umeishia elimu gan[emoji16][emoji16]
 
Wew ndo hujaelewa apo anezungumziwa mke kulipwa na sio mfanyakaz kama mfanyakazi sijui umeishia elimu gan[emoji16][emoji16]
We ndo hujaelewa kwa vile hujui mada imetoka wapi?
Mke analipwa kama mfanyakazi kwa vile wapo wafanyakazi wanaweza kufanya za nyumbani na wakalipwa .

Analipwa akiwa anafanya kazi zile za nyumbani ni kwamba zile kazi inatakiwa umuajiri mtu kama mfanyakazi na mkeo akifanya basi umlip.

Umeelewa?

Form four failures mna tabu sana....Hii mada hujui imetokea wapi?
 
kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako.
Arudie tena maneno haya,
"Halipwi kwa kua sio house girl,angekua house girl angelipwa"
Maana ya kua mke ni msiri,rafiki,mfariji,mlezi,pamoja na msaidizi wa mwanamume pamoja na familia yao waliyoianzisha.
Hawezi kutoka hapo na kwenda sehemu nyingine, lakini HG ipo siku ataondoka na kwenda kutafuta/kuanzisha familia yake yupo kikazi/kimasilahi.

Such a foolish mwanaharakati,
Maamuzi ni ya wanawake,kua HG au mke ,waswahili husema HG akipanda cheo anakua Maza house.
wale wenye experience ya kuoa ma HG huwaga mnaendlea kuwalipa mishahara baada ya ndoa?
 
Hivi housegirl mbona unamlipa mshahara na anakula kwako, analala kwako, halipi kodi na akiugua unamhudumia, sembuse mke ambaye anakupa na papuchi ya bure kila siku?
Kwahuyo ni business contract ndio maana hata kusemwa anasemwa na anatilishwa na boss wake. Upo tayari ndoa iwe business contract na atakayezingua nguvu itumike na kukaripiwa bila sijui kuandaana na ujinga mwingine ili sijui umfurahishe mwanamke. [emoji23][emoji23][emoji23]boss hivi unajua kuwa kama ndoa ingekuwa pure business contract wanawake wangekimbia wanaume kwakuwa utakavyomtreat mke siosawa na utakavyomtreat mwajiri wako.
 

Utazania una mume
 
wala wasisumbuke, wasifanye izo kazi, hata kutandika kitanda wasitandike, sisi hatutaki tuwalipe ila tutamlipa housegirl afanye hizo kazi. housegirl atupikie adeki na kufua nguo na atandike na kitanda, afue na boxer zangu n.k. wakikubali hilo naingia naye mkataba wa kumlipa kazi za ziada za nyumbani.
 
Ukumbuke wanaharakati wote ni wale ndoa zilizowashinda
 
Kula nyapu tutakula za mahouse girl ambao wakotayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…