Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Hivi unajua maana ya kuolewa vizuri kweli?
 
Hao wengi ni wasimbe sugu pia hawajawahi kuolewa wao ni kuzalishwa tu
 
Unaeza kuta kenyewe huko kwake ni katiifu balaa.
Magoti mengi mixa heshima debe.
Lakn akija huku mtandaoni anajifanya supawumani.
Wanawake kaeni chonjo, kikiumana kwenye ndoa zenu mkabaki mnatangatanga hawa wasenzi wanaowashauri hata DM hawatajibu na bloku mtakula
 
Wana visebengo sana hawa
 
Hivi unajua maana ya kuolewa vizuri kweli?
Kwa hiyo hao wanaofanya kazi warudi nyumbani kupika?

Au umenielewa vip ? hao feminists wanatoa hoja hizo ni kwamba wengi wanafanya kazi na hawana mda wa kupika makwao ...Hoja yao imesimamia kwamba hapo lazima utoe malipo kwa wanaofanya kazi za nyumbani ikiwezekana mke asifanye na ufanye kuajiri mfanyakazi wa ndani.
 
Hii inaitwa za kuambiwa................
 
Single maza watazidi mara dufu. Sawa na sisi tutawapeni kile mnakitafuta.
 
Ndoa zao zimewashinda. Wanataka kuharibu na za wenzao.

Uvivu wa kufanya kazi ni laana.
 
Ni sawa tu, lakini lazima nitamkata mshahara huo kwa ajili ya gharama nyingine/ huduma ninazompatia. Pia, kama mshahara wake ni mkubwa sana kiasi kwamba siwezi kumudu, nitamwondoa kazini!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…