Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

Kwa hiyo hao wanaofanya kazi warudi nyumbani kupika?

Au umenielewa vip ? hao feminists wanatoa hoja hizo ni kwamba wengi wanafanya kazi na hawana mda wa kupika makwao ...Hoja yao imesimamia kwamba hapo lazima utoe malipo kwa wanaofanya kazi za nyumbani ikiwezekana mke asifanye na ufanye kuajiri mfanyakazi wa ndani.
Mkuu unaamini katika kitabu kipi cha imani yako kabla sijakujibu swali lako?

Na je, unajua sifa za mke mwema vizuri kweli?
 
Haujanielewa mimi naamini kwenye vitabu vya Mungu vinne..

Mimi siungi mkono feminists wala wanawake kwa ujumla kweny hatakati zao.

Haya tuje sasa👉inawezekana kama sio wewe basi jirani ,ndugu au rafiki yako ana mwanamke anafanya kazi anatoka asubuhi anarudi jioni kama mume ,je kwa hali hii huoni kama kuna usawa nan atafanya shughuli za nyumbani?

Hapa siongelei kwamba naunga mkono bali ni uhalisia ambao upo kabisa katika maisha ,huwezi kupinga hayo mambo kwa vile tupo katika mfumo wa kumthamini mwanamke na ile 50/50 ,mwanamke nae anatafuta kwa jasho kama mume kwenda kazini siku nzima, je huyu ataweza kufanya kazi za nyumbani maana hashindi nyumbani kabisa?
 
Haujanielewa mimi naamini kwenye vitabu vya Mungu vinne..

Mimi siungi mkono feminists wala wanawake kwa ujumla kweny hatakati zao.

Haya tuje sasa[emoji117]inawezekana kama sio wewe basi jirani ,ndugu au rafiki yako ana mwanamke anafanya kazi anatoka asubuhi anarudi jioni kama mume ,je kwa hali hii huoni kama kuna usawa nan atafanya shughuli za nyumbani?

Hapa siongelei kwamba naunga mkono bali ni uhalisia ambao upo kabisa katika maisha ,huwezi kupinga hayo mambo kwa vile tupo katika mfumo wa kumthamini mwanamke na ile 50/50 ,mwanamke nae anatafuta kwa jasho kama mume kwenda kazini siku nzima, je huyu ataweza kufanya kazi za nyumbani maana hashindi nyumbani kabisa?
KWASABABU UNAMINI KATIKA VITABU VINNE JIBU LIKO HAPA. HUKO NILIKO WEKA MABANO IWE NDIYO TAFAKARI YAKO,

Mit 31:10-31 SUV

Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.

(Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo). Afanana na merikebu za biashara;

(Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao).

(Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida😉

Taa yake haizimiki usiku. Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake. Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.

(Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani). Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.

( Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake); Anaucheka wakati ujao.

Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake. (Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake); (Wala hali chakula cha uvivu). Wanawe huondoka na kumwita heri;

Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.

UKIANGALIA KWA MAKINI HUYU MWANAMKE HAPA NI MFANYAKAZI, MTUNZAJI WA FAMILIA NA HANA KIJAKAZI WALA HALIPWI MSHAHARA NA MUMEWE NAPIA HAKUNA HAKI SAWA HAPA.

#kwa msingi huo mwanamke ukisha kua mke uwe unafanya kazi au hufanyi kazi hupaswi kulipwa na mumeo na hakuna usawa baina yako na mumeo.
 
Hayo ni maandiko yapo sawa ila tuje kweny watekelezaji ndo tatizo .

Hayo yote kwa kizazi hiki ni ngumu kuyafanya kutokana na mfumo wa maisha uliopo tangu mwanamke anazaliwa hawa kizazi cha kuaniza miaka 90's ,walikuta sheria za kumkomboa mwanamke.

Mwanamke anafanya kazi anarudi jioni kachoka huo mda atautoa wapi? Nyumba nyingi kuna wafanyakazi wanaolea watoto na shughuli zote za nyumbani.

Katika angle fulani mke anayetoka asubuhi na mumewe na kurudi pamoja basi hakuna tofauti kwa sana kwenye majukumu kama wazungu wanavyotaka...Ratiba ya shughuli za mke na mume zipo sawa kila kona huoni kama hapo kuna tatizo mahali ,chukulia mke anasafiri kikazi hata wiki 2 ina maana tayar kimajukumu mengine yemamtinga na ndani ya hizo wiki 2 hatokuwa akishughulika na shughuli yeyote ya nyumbani kwamb kazi ni kipaumbele kuliko ndoa na familia.
 
HAKUNA UGUMU WOWOTE WA KUYAISHI HAYO KATIKA KIZAZI HIKI BALI NI ULIMBUKENI WA WANAWAKE WANAO ONGOZWA NA MIHEMKO YAO YA CHUKI ZIDI YA WANAUME , KUSEMA NI NGUMU NIKUPINGANA NAMPANGO WA MUNGU, HIVYO MAMBO YA USAWA NA KUMLIPA MKE WAKO HUONI NI KUWA MWANAHARAKATI WA KUANGUSHA CHINI MISINGI MIZURI YA ASILI ALIYO UMBA MUNGU TOKEA ENZI NA ENZI.

HIVYO KWA KUWA HUKO JUU UMESEMA NI SAWA BASI . MSIWASIKILIZE HAO MA FEMINIST KWANI WANA WAPOTEZA SANA WANAWAKE NA WANAPASWA KULAANIWA VIKALI

"Kumbuka mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake( ndoa) kwa mikono yake mwenyewe" .
 
Hii ni kweli na ndo maana kadri tunavyoenda kinyume ndio madhara yanaonekana kwa kasi Mfano ndoa sasa nyingi hazidumu.
 
"Moja ya ukatili ambao wanawake wanafanyiwa ni kufanyishwa kazi majumbani bila kulipwa, kiuhalisia mwanamke anapofanya kazi za nyumbani lazima alipwe, kwasababu hujamuoa awe house girl wako, yule ni mke wako ambaye umemuoa kwa malengo maalumu na siyo ya kufanya kazi za nyumbani."

"Sisi kama wanaharakati tupo kwenye mchakato kuhakikisha ule muda ambao mwanamke anautumia kufanya kazi za nyumbani uwe na manufaa kwake, alipwe na mume wake."- Shamira Mshangama, Mwanaharakati.

Wamefikia stage mbaya sana aloo.
[emoji174][emoji23][emoji23]View attachment 2713479
Wanawake wenye akili hawawezi kikubaliana naye., kwanza tuanze na yeye Je ameolewa au alizalishwa tu kisha maisha yakasonga. Na kama kaolewa analipwa na huyo mme wake, na kama hajaolewa iweje leo awe mshauli na mwalimu wa walioolewa.
 
Very stupid argument.... kwa jinsi taasisi ya ndoa inavyotetereka(ambayo ndo msingi wa jamii iliyostaarabika) wanaharakati wapuuzi kama hawa badala ya kuja na hoja za kujenga ndo kwanza wanaharibu familia kabisa.
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili na sio business contract kwa huku kwetu.
1. Wapo wanaume wanaomudu kuwalipa wake zao mshahara sababu walikubaliana kuwaachisha kazi ili walee familia
2. Mwanaume anaejielewa na kipato kinaruhusu akiwa na mke mama wa nyumbani nyumba yenye majukumu mengi anamuwekea tu house girl na bado atamtunza mkewe kwa mahitaji yake binafsi kadiri kipato chake kinavyoruhusu

Yani huyo mume achukue kamshahara kake alipe kodi, ada, chakula, mahitaji ya nyumbani.... etc then bado amlipe mke ambae toka 2015 serikali imeshindwa kumuajiri private nako hola na bado kashindwa kujiajiri. Hii ni mentality ya kishetani na kinyonyaji hamna upendo hapo na hiyo familia lazima iwe masikini

Huu muda wanaotumia kutafuta sheria za kijinga, wangekua wanajikita kutafuta fursa namna mwanamke anaweza kufanya kazi kwa muda mchache au kufanya kutokea nyumbani ili aweze kupata muda wa kutunza familia asilimia kubwa ya muda wake badala ya familia kulelewa na madada wa kazi

Nje ya mada... huu muda anaopiga domo angekaa na mumewe wajitahidi wapate watoto labda akili itakomaa ataacha arguments za kipumbavu
 
Haujanielewa mimi naamini kwenye vitabu vya Mungu vinne..
Unaamini huyu ni mungu anasema wanawake wapigwe?

Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
Tatizo lako lipo wapi?😅
 
Huyu shamira mshangama ndo mke wa yule kimkyando IT wa wasafi.

Jamaa anaonekana mtu wa dini na anajielewa sana, huyu dem haendani hata na uharakati
 
Back
Top Bottom