Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hahahaha....Yani team diamond mnafurahisha sana.....Leo mnakuja na gia ya kutokuwa na timu? Hhahaha, sasa ishu iko hivi....Kama wewe hujauona kuwa ni mzuri...Kina moodewji, prof jay, ngeleja, kigwangala, mwanafa, ridhiwani, itv, clouds, earadio, mimi, mke wangu,etc wote wameuona ni mzuri...

So we pambana na hali yako tu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Watz sijui nani katuloga ,sijui kwa nini tunapenda kushabikia mambo yasiyokuwa na tija,what is so special in that song?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watz we na nani!?hivi kwann tupenda kupangiana vya kupenda!?tunampenda na tunamuelewa alikiba na seduce me ndo nyimbo ya taifa Kwa sasa hutaki jizike mzima mzima...
 
Watu wamepigwa gap la 1 m hatari sana.hii inaitwa Mwana kulitaka Mwana kulipewa...mwambieni huyo domo sikunyingine asifananishe ujinga wake na mziki nzuri!!kama Ni matusi ommy kamchana mpaka Mwenyewe kaufyata,kama nyimbo kiba kamkoroga mpaka Mwenyewe kaufyata..!!
 
Mkuu Kosa lao umeliona ila Kosa lako la kumfollow Mange hulioni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtakufa mwaka huu, huu mnyoosho hamtausahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…