Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20250329_210726~2.jpg

😂😂
 
Huu msuli ni balaa hapo Vector inagoma,Trig inakataa huku propability inakupa jibu siyo.

Hesabu/calculation za Esther zilinifanya niikimbie Chemistry. Bahati mbaya mwalimu wa chemistry na mama yangu walikuwa wanafahamiana nikashindwa kukimbia nikaendelea na chemistry hadi 4. Ila mtihani wa national sikuya chemistry sikuingia kwenye chumba cha mtihani, niliona kuliko niandike F kwenye cheti bora ibaki deshi.

Ila physics ilikuwa inapanda vizuri sana na biology shida chemistry ilikataa kabisaa...
Huo ndo ukawa mwisho wake.
 
Diuuhh sisi maza alikuwa anajua Maths vizuri kwa hiyo mimi fist born ilipaswa nijue Maths. Pia ndugu zangu wooote walisoma Mtaths yaani home vitabu vya hesabu kila kona. Ila Bios kwangu ilikiwa mtiti sana.
Nakumbuka miaka ile paper Bios ilivuja tukanadilishiwa ndani ya chumba cha mtihani.
 
Hesabu/calculation za Esther zilinifanya niikimbie Chemistry. Bahati mbaya mwalimu wa chemistry na mama yangu walikuwa wanafahamiana nikashindwa kukimbia nikaendelea na chemistry hadi 4. Ila mtihani wa national sikuya chemistry sikuingia kwenye chumba cha mtihani, niliona kuliko niandike F kwenye cheti bora ibaki deshi.

Ila physics ilikuwa inapanda vizuri sana na biology shida chemistry ilikataa kabisaa...
Huo ndo ukawa mwisho wake.
Esterification, mwanzo inaanza vizuri….Huko mbele sasa😁
 
Hesabu/calculation za Esther zilinifanya niikimbie Chemistry. Bahati mbaya mwalimu wa chemistry na mama yangu walikuwa wanafahamiana nikashindwa kukimbia nikaendelea na chemistry hadi 4. Ila mtihani wa national sikuya chemistry sikuingia kwenye chumba cha mtihani, niliona kuliko niandike F kwenye cheti bora ibaki deshi.

Ila physics ilikuwa inapanda vizuri sana na biology shida chemistry ilikataa kabisaa...
Huo ndo ukawa mwisho wake.
F ina athari gani kama kwingine utakwangua maksi nyingi kwenye comb zingine?
 
Hesabu/calculation za Esther zilinifanya niikimbie Chemistry. Bahati mbaya mwalimu wa chemistry na mama yangu walikuwa wanafahamiana nikashindwa kukimbia nikaendelea na chemistry hadi 4. Ila mtihani wa national sikuya chemistry sikuingia kwenye chumba cha mtihani, niliona kuliko niandike F kwenye cheti bora ibaki deshi.

Ila physics ilikuwa inapanda vizuri sana na biology shida chemistry ilikataa kabisaa...
Huo ndo ukawa mwisho wake.
Mimi nilikuwa naipenda sana chemistry form one mpaka form two. Vitu vyepesi vyepesi tu kama, Mention laboratory rules, draw bunsen burner and label it, mambo ya first aid and first aid kit n.k

Basi nikawa naiona chemistry simple. Kufika form three ndio nikaona moto wa kemia, Organic chemistry. Hapa ndio mapenzi na chemistry yaliisha.
 
😂😂😂😂😂
Nimecheka kifala sana.
 
Back
Top Bottom