Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

Majaaliwa is genius and has experience with education and skills. He simply gave excellent and practical advice
"Have or aquire skills that match available opportunities."

You can't expect vice versa that opportunity match your skills - simply it doesn't work that way.
 
Huu msuli ni balaa hapo Vector inagoma,Trig inakataa huku propability inakupa jibu siyo.
Uje Ile probability ya advance, yenye how many even numbers can be arranged sijui nini aisee acha wewe ni balaa ,nguvu nyingi zinatumika mbali na uhalisia
 
Chuo kuna kitu kina marginal and absorption 🤧kuna kitu inaitwa cash budget 🙌
😁😁😁
Ubaya wake ukikosea mwanzo huko mbele hutoboi.

Unaanza na Cash book, double entry system, trial balance, balance sheet, unamalizia na Petty cash book.
 
Attachments

  • Screenshot_20250330-003341.jpg
    Screenshot_20250330-003341.jpg
    207.8 KB · Views: 17
😁😁😁
Ubaya wake ukikosea mwanzo huko mbele hutoboi.

Unaanza na Cash book, double entry system, trial balance, balance sheet, unamalizia na Petty cash book.
Mkuu kiufup hata kuingiza zile details kwenye jedwali ilkuwa tizi. Cha ajabu kuna wadau walkuw wanapiga F Math, chem, Bios, Physics n. K ila wanakuambia book keeping ndo rahis kwao. Hii imenifanya niheshim kila mtu kwa chochote alichokisomea😂😂😂 weeee!.
 
😁😁
Kujua ipi inakaa upande wa credit na ipi ni Debt.
Sema hayo madude pia yalikuwa hayanipi shida, ila niliopt nikaamua kwenda kuchora panzi😁
 
😁😁😁
Ubaya wake ukikosea mwanzo huko mbele hutoboi.

Unaanza na Cash book, double entry system, trial balance, balance sheet, unamalizia na Petty cash book.
Nakumbuka siku moja tunafanya corrections madam mmoja wa kichaga somebody mbise km sikosei

Alienda Op kenye hayo madude kwenye kuingiza kwenye jedwali

Kutoka backbencher ikasikika sauti madam you are wrong you seem to have stress 😁😁

Hajawahi kurudi darsani akabadilishwa 😁😁
 
Huyo mwanafunzi hakuwa na adabu, angeongea kama suggestion, sio hivyo alivyoropoka.
 
Nakumbuka siku moja tunafanya corrections madam mmoja wa kichaga somebody mbise km sikosei

Alienda Op kenye hayo madude kwenye kuingiza kwenye jedwali

Kutoka backbencher ikasikika sauti madam you are wrong you seem to have stress 😁😁

Hajawahi kurudi darsani akabadilishwa 😁😁
🤣🤣🤣... daaa backbencha ni pasua vichwaaa haswaaa
 
Watu wanatumiaje nguvu namna hii kusoma? Kwani kusoma ni vita?

Mimi tangu primary hadi sekondari sikuwahi kukaa nasoma hata kwa masaa mawili lakini kwenye mitihani utanikuta juu mawinguni nimetulia zangu huku nikiwaacha midomo wazi wapiga msuli.

Hii imeenda hadi chuo sikuwa na muda wa kusoma nilikuwa na usemi wangu 'tukutane kwenye exams venue' ndiyo tuoneshane nani mkali wa hizi kazi.

Anyway, nilisahau kuwa binadamu tunatofautina kiwango cha uelewa.
 
Mimi nilikuwa naipenda sana chemistry form one mpaka form two. Vitu vyepesi vyepesi tu kama, Mention laboratory rules, draw bunsen burner and label it, mambo ya first aid and first aid kit n.k

Basi nikawa naiona chemistry simple. Kufika form three ndio nikaona moto wa kemia, Organic chemistry. Hapa ndio mapenzi na chemistry yaliisha.
Teh teh tehee teehee, ulikuwa hauna obby nayo mkuu
 
Back
Top Bottom