Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

Sikumbuki mimi tenaaaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Haya si ya kuyakumbuka mkuu.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mwl. wetu aliyekuwa anatukatia Kemia kuna muda akili ilikuwa inahama ๐Ÿ˜ฅ, akili ilikuwa inavurugika kweli kweli.
 
You made my day. ....nilikimbia Bookeeping..bahati mbaya familia nzima watu wa CPA..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Nilisemwa mno ...matokeo ya form 4 yakaja poa..ila nikaendelea na kusemwa mpaka nimetoboa,kisayansi sayansi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmpaka leo Mama bado ananisema mbele ya wajukuu wake๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Aahahahahaaa naelewa kuna namna familia za zamani zilikuwa zinapenda kurithisha watoto fani walizonazo wazazi...

You can emagine, kwetu ilikuwa wavaa makoti meupe na kuning'iniza ....cope shingoni...

Nikaikimbia fani isiwe tabu. Sema wazazi walipojua nilikimbia pepa hawakusema kitu sababu nilienda 5 ya waschana na maisha mengine yaliendelea.

Hapo ndo huwa naamini kila mtu na fungu lake.
 
Aahahahahaaa naelewa kuna namna familia za zamani zilikuwa zinapenda kurithisha watoto fani walizonazo wazazi...

You can emagine, kwetu ilikuwa wavaa makoti meupe na kuning'iniza ....cope shingoni...

Nikaiimbia fani isiwe tabu. Sema wazazi walipojua nilikimbia pepa hawakisema kitu sababu nilienda 5 ya waschana na misha mengine yaliendelea.

Hapo ndo huwa naamini kila mtu na fungu lake.
Kweli kabisa,Bibi anataka wajukuu wafuate alichosoma yeye๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Maisha haya tunatoka mbali sana kwa kweli...asante sana kwa comment yako nzuri imeongeza tabasamu.
 
Daaa! comments zenu wakuu zimechekesha peke yangu kama chizi.

Namimi pia pia nmekumbuka nilivyo bwaga manyaga kwenye book-keeping.
Asee lilesomo yaani nilkuwa silielewi jumla kabsaa. Yale majedwali ya siju detail, portifolio, cjui debt anyway skumbuki vizuri.

Lakin ile kubalance cjui double entry asee masomo yote yangekuwa magumu kama lile nadhan ningeachana shule kabsaa.
 
Najua wanakuwa na nia njema tuu ya kutakia kizazi chao mema. Ila uwezo hutofautiana.

Uwe na weekend mwanana na salamu kwa familia.
 
ila majaliwa anakupa jibu rahisi njia ni veta achana na trig, na vector
Afu walijipanga vzur sana kuliwasilisha hili jambo la veta

Chambo alikuwa Majaliwa lakin ni msimamo wa serikali yetu,maana biteko nae akasema watu wanamaliza chuo na hawajui kupika,kuna siku mama nae nilisikia analizungumzia
 
Mimi nilikuwa naipenda sana chemistry form one mpaka form two. Vitu vyepesi vyepesi tu kama, Mention laboratory rules, draw bunsen burner and label it, mambo ya first aid and first aid kit n.k

Basi nikawa naiona chemistry simple. Kufika form three ndio nikaona moto wa kemia, Organic chemistry. Hapa ndio mapenzi na chemistry yaliisha.
Mimi nilikuwaga mnyama sana kwenye hesabu toka primary na olevel nimechafua sana,lilikuwa somo langu pendwa sana lakin lilikuja kunitoa knockout advance mpaka leo nakumbuka mapicha picha nilianza kuyaona kwenye topic ya differention na intergration sjui mpaka leo nazikumbuka,physics nayo ikanifanya mbaya aisee msuli wa advance mpaka leo nauheshimu,nilitaga
 
Hesabu/calculation za Esther zilinifanya niikimbie Chemistry. Bahati mbaya mwalimu wa chemistry na mama yangu walikuwa wanafahamiana nikashindwa kukimbia nikaendelea na chemistry hadi 4. Ila mtihani wa national sikuya chemistry sikuingia kwenye chumba cha mtihani, niliona kuliko niandike F kwenye cheti bora ibaki deshi.

Ila physics ilikuwa inapanda vizuri sana na biology shida chemistry ilikataa kabisaa...
Huo ndo ukawa mwisho wake.
hahaha JF idumu!
 
You made my day. ....nilikimbia Bookeeping..bahati mbaya familia nzima watu wa CPA..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Nilisemwa mno ...matokeo ya form 4 yakaja poa..ila nikaendelea na kusemwa mpaka nimetoboa,kisayansi sayansi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmpaka leo Mama bado ananisema mbele ya wajukuu wake๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Science kwa miaka ya nyuma ilikuwa ni bora sana in terms of ajira
 
Mimi nilikuwaga mnyama sana kwenye hesabu toka primary na olevel nimechafua sana,lilikuwa somo langu pendwa sana lakin lilikuja kunitoa knockout advance mpaka leo nakumbuka mapicha picha nilianza kuyaona kwenye topic ya differention na intergration sjui mpaka leo nazikumbuka,physics nayo ikanifanya mbaya aisee msuli wa advance mpaka leo nauheshimu,nilitaga
Advance pamoto sana.
 
Daaa! comments zenu wakuu zimechekesha peke yangu kama chizi.

Namimi pia pia nmekumbuka nilivyo bwaga manyaga kwenye book-keeping.
Asee lilesomo yaani nilkuwa silielewi jumla kabsaa. Yale majedwali ya siju detail, portifolio, cjui debt anyway skumbuki vizuri.

Lakin ile kubalance cjui double entry asee masomo yote yangekuwa magumu kama lile nadhan ningeachana shule kabsaa.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ubaya wake ukikosea mwanzo huko mbele hutoboi.

Unaanza na Cash book, double entry system, trial balance, balance sheet, unamalizia na Petty cash book.
 
Back
Top Bottom