Asante sana mkuuu wacha nijiandae kesho nikapate lose ball.mzabzab kesho saa 8 mchana, Ubungo Mawasiliano Law School kuna interview ya TRA. Utanushukuru.
😂😂😂😂😂
Nimecheka kifala sana.
Esterification, mwanzo inaanza vizuri….Huko mbele sasa😁
Umenikumbusha mbali sana.Katika level zote za elimu nilizopita, Advance level (Form five na six) ndio niliona moto 🔥, Advance ni moto wa kuotea mbalii mama mkanye mwanao!!!😂😂
Unaona madude haya...👇👇
View attachment 3287246
Sasa Advance ulipiga PGM? maana ulisema phys uko 🔥🔥Aahahahaa balaaa.... mpaka kuna muda nikawa najisemea, kwanini hii topic wameipa jina la mwanamke.... so complicated.
Ubongo uligoma kabisaa na tuition nikaacha. Nilijiambia kabisa national pepa ya kemia siingii na kweli.
F ina athari gani kama kwingine utakwangua maksi nyingi kwenye comb zingine?
Mimi nilikuwa naipenda sana chemistry form one mpaka form two. Vitu vyepesi vyepesi tu kama, Mention laboratory rules, draw bunsen burner and label it, mambo ya first aid and first aid kit n.k
Basi nikawa naiona chemistry simple. Kufika form three ndio nikaona moto wa kemia, Organic chemistry. Hapa ndio mapenzi na chemistry yaliisha.
Hahahaha!Aahahahaa balaaa.... mpaka kuna muda nikawa najisemea, kwanini hii topic wameipa jina la mwanamke.... so complicated.
Ubongo uligoma kabisaa na tuition nikaacha. Nilijiambia kabisa national pepa ya kemia siingii na kweli.
Katika level zote za elimu nilizopita, Advance level (Form five na six) ndio niliona moto 🔥, Advance ni moto wa kuotea mbalii mama mkanye mwanao!!!😂😂
Unaona madude haya...👇👇
View attachment 3287246
😂😂😂😂Jiulize haya unayatumiaje kununua ugali samaki ushibe...
Ama kununulia tofali ujenge....
Kuna yamewafaa, mimi yalinishinda.
Masomo mengi mziki ulikuwa unaanza kuonekana form 3.Mimi nilikuwa naipenda sana chemistry form one mpaka form two. Vitu vyepesi vyepesi tu kama, Mention laboratory rules, draw bunsen burner and label it, mambo ya first aid and first aid kit n.k
Basi nikawa naiona chemistry simple. Kufika form three ndio nikaona moto wa kemia, Organic chemistry. Hapa ndio mapenzi na chemistry yaliisha.
Hao ni maadui wataifa hili.Na Kuna wajinga wanawaimbia chorus ya mitano Tena!
Sasa Advance ulipiga PGM? maana ulisema phys uko 🔥🔥
Bibi umenifanya nicheke pekee angu hapa kitandani.Achia hapohapo kodi zikifunguka zaidi ntatokelezea hadharani bureee bila gagulo eehehehee.
Tena geography nayo ilikuwa inapanda mnooo, fizikia ndo usiseme. Niambie mchoro wowote nakuchorea na maelezo juu. Kuitafsiri picha ya mazao na kujua iko ukanda gani, achilia mbali kuzisoma kontua yaani nilikuwa najiona rubani huyu hapa nimuendeshe mshua weeeh...!! Ikiwaa saa 7 mchana Kuwait je ni saa ngapi Copenhagen eehehehe hizo nilikuwa nashuka kama kitonga. Tropic of kaprikon na topic of kansa na mahesabu yake yote nilikuwa nateremka nayo fitiii.
Hapana chezea laifu, nilipoonjeshwa pipi ya kijiti medula blangata ikahamia usoni 😅😅😅 vululuvululu kilakitu kikaishia hapo...
Nikabobea Mahaba walau yananiweka mjini bado 😊.
Hahahaha!
Sema Practical yake ilikuwa inawabeba wengi.
Cheka mwaya furahi tuu maisha ndo hayahaya. Ongeza afya na kinga ya mwili buree kwa kucheka...😊😊😉😉.Bibi umenifanya nicheke pekee angu hapa kitandani.
Ulitisha sanaa. Mie phys ilikua inanitoa jasho kinoma, lakini nikawa najisemea itaamua yenyewe iwe kwa lazima au hiyari muhimu initii..
Sikumbuki mimi tenaaaa😀😀😀😀Esterification, mwanzo inaanza vizuri….Huko mbele sasa😁
You made my day. ....nilikimbia Bookeeping..bahati mbaya familia nzima watu wa CPA..😀😀😀😀Nilisemwa mno ...matokeo ya form 4 yakaja poa..ila nikaendelea na kusemwa mpaka nimetoboa,kisayansi sayansi😃😃😃mpaka leo Mama bado ananisema mbele ya wajukuu wake😀😀😀Hesabu/calculation za Esther zilinifanya niikimbie Chemistry. Bahati mbaya mwalimu wa chemistry na mama yangu walikuwa wanafahamiana nikashindwa kukimbia nikaendelea na chemistry hadi 4. Ila mtihani wa national sikuya chemistry sikuingia kwenye chumba cha mtihani, niliona kuliko niandike F kwenye cheti bora ibaki deshi.
Ila physics ilikuwa inapanda vizuri sana na biology shida chemistry ilikataa kabisaa...
Huo ndo ukawa mwisho wake.
Amna lose ball bila bunda labda uingie na swaga za mfanyakazi wa TRA.Asante sana mkuuu wacha nijiandae kesho nikapate lose ball.