Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

Hawa jamaa wa Iringa chini ya Producer Ambha walitisha sana

nlichojifunza ni kuwa pale kwa Amba almost wasanii wengi ni walikuwa wasomi
Yeye mwenyewe alikua anasoma Bachelor of Business Administration (BBA) hapo Tumaini Iringa, kwa hiyo ilikuwa rahisi kwa wasomi hao kufanya kazi pamoja. Amba alisoma na kupata MBA pia na baadae alianzisha biashara zake za bakery
 
Back
Top Bottom