Hawa mabinti wawili wametrend sana kwa muda mrefu. Picha zao ziko kila kona ya internet

Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni.

sijui nini reason behind ya hawa mabinti picha zao kutumika sana na kuwa katika mzunguko. Urembo sana, ni kweli wanatoa huduma ndio maana wako trending, etc

Anyway life goes on.
View attachment 2784504
Mbona ni kama walemavu?Wanufaika wa TASAF phase gani hawa?
 
Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni.

sijui nini reason behind ya hawa mabinti picha zao kutumika sana na kuwa katika mzunguko. Urembo sana, ni kweli wanatoa huduma ndio maana wako trending, etc

Anyway life goes on.
View attachment 2784504
Sikosoi uumbaji ila pua zao zimezagaa sana
 
Back
Top Bottom