Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani.
Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala hajali. Atafoka hadi sebuleni.
"Bwanaa eeeh.... Umenikuta nina maisha yangu....niache niwe huru sitaki kusumbuliwa miye", last time nikakaa naye nikamwambia. Sister ukiachwa sisi tutaenda ishi wapi? Unataka turudi mkoani? Nilimsihi sana akae kwa kutulia.
But amekuwa mbinafsi hatujali wengine. Maisha haya akiachwa inamaana nirudi Tanga, kweli? Mimi graduate nikafanye nini Tanga? Nikakwee minazi? Huu ni wendawazimu.
Wanawake wa zamani walikuwa na heshima kwa waume zao. Hata mkienda kukaa pale mna enjoy. Siku hizi Thubutuuuuuu....hamna kitu kabisa yaani empty. Inaumiza sana.