MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
-
- #21
Soma vizuri uzi uelewe acha kukurupuka. Plato anaingiaje hapo, issue ziko very clear, hao watu wana little or no knowledge hawana necessary skills set na IQ zao ni ndogo. Sisi ambao tuko road kila mara tunaona kazi yao. Wewe uko shamba uko Najilinji una para-miwa unajiongelesha tuKwa hiyo ulitaka professors wawe madereva na hao unawaita la Saba ndio wawe country policy makers?
Ungewahi kusoma philosophy za Plato usingeandika huo udwanzi.
Hawa watu ambao wame-fail darasa la saba na wana IQ ndogo sana wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya...
Naunga mkono hojaMy friend you lack seriousness. Waliomo kwenye hayo magari ndo hao hao viongozi na watunga sera. Kama wanashindwa kuwaambia madereva wao wapunguze mwendo au wafuate sheria za barabarani, si unaona hata umakini wa hao viongozi ni wa kutiliwa Shaka?
Wakati mwingine nadhani hawa viongozi wanaotumia magari ya kodi zetu, wanajiaminisha kwamba ajali zinawahusu walipa kodi pekee.
Inasikitisha, lakini ajali zitapungua endapo magari ya serikali yataanza kufuata sheria na kuwajibishwa kama raia wengine.
Mtoa mada anashindwa kuelewa kuwa elimu kubwa haiendeshi gari Bali ni MTU binafsi, tatizo sio darasa la 7 wala chuo kikuu Bali ni UJINGA wa viongozi wenyewe ambao wanafurahia speed kubwa.Viongozi kama Samia, Majaliwa na Mango wajiendeshe wenyewe, au wapande mwendokasi? Nawaza tu...
Mkuu ile ajali picha tumeona, ilikuwa na highly energetic! Na energy ni product ya spidi na uzito mkuu.Mkuu lakini kwa ajali ya leo huko Kilimnjaro inayomhusisha Katibu Tawala wa Mkoa, kulingana na Mkuu wa Mkoa Mohammed Babu, mwenye makosa si dereva wa serikali bali dereva wa lori lililokuwa lina ovateki wakati magarai mengine yaliyosimamishwa yamesimama.
Hivyo ikawa uso kwa uso.
Madereva wa serikali na bodaboda ni mama mmoja na Baba mmojaMadereva wa serikali wameshindikana na hata trafiki wamebaki kuhangaika na magari ya kiraia. Unakuta STN inaovertake kwenye Kona au mlima na ghafla unaona hiyo mbele Yako. Nendeni Marekani mkaone jinsi madereva walivyo na nidhamu barabarani ya Hali ya juu sana. Tanzania kuwa barabarani ni kama uko msituni kwenye wanyama wakali. Maana Kuna pikipiki, mabusi, malori na magari ya serikali yote ni kuwindana tu .
ππ€£ππ€£π€£Form Four ni la-saba lililochangamka
πππ€£π€£ππMadereva wa serikali na bodaboda ni mama mmoja na Baba mmoja
Mtoa mada umekosa adabu, nakuombea siku moja likupate baya tuone msaada wa elimuEndelea kutetea upuuzi, hao watu hawana akili kabisa, wengi wanavunja sheria za barabarani na ku-overtake kwenye milima na kona kali bila kujali
Taaluma gani ni ma-pimbi tu, zingekua ni gari ambazo wanazinunua kwa fedha zao wasingekua wanazitomba hivyo barabarani. Ingia road ukutane na hivyo vyuma ndiyo utanielewa ninachoongea na hizo akili zako za kuvukia barabaraMleta mada Huna akili kwanza kwa kudharau taaluma ya mtu, unapomuona mwenzako hana akili na kushusha uwezo wake yeye pia anakuona hvo hvo, dereva anaongozwa kwa sheria na taratibu mpaka anapata ajali anaweza sababisha au kusababishiwa. Nature ya viongozi hawataki kukaa foleni na kufuata sheria na hulazimisha ku overtake au kukimbia awahi anapokwenda.
Kama tatzo ni dereva wajiendeshe wenyewe simple tuu, mbona wao wanafanya maamuzi ya hovyo yanayogharimu maisha yetu au huoni hilo, kifo ni ahadi na ajali haina kinga