Hawa madereva wa serikali waangaliwe kwa umakini sana watawaua viongozi wetu wote

Usiwasingizie madereva,viongozi wenyewe wanarogana wao kwa wao... (hata ukiniuliza uchawi nini na nitathibitishaje kisayansi, jibu langu ni hili.. Sayansi siyo jibu la mambo yote )
 
Kufeli darasani sio kufeli mengineyo. Wengi wa waliofeli ndio wanatuweka mjini mamen na cash zao. Kuna waliofaulu ila hamnazo kivitendo.
 
Unakubalije kuendeshwa hivyo?

Spidi sio mbaya ila kun rough fulani hivi hazikubaliki
 
Picha iko wapi?
 
Kufeli darasani sio kufeli mengineyo. Wengi wa waliofeli ndio wanatuweka mjini mamen na cash zao. Kuna waliofaulu ila hamnazo kivitendo.
Hakika viungo vyako vya uzazi vitachakaa sana
 
Mkuu hao jamaa namba 3 usije ukajichanganya kufanya nao ligi hizo chuma Zina mwendo sio wa nchi hii.

Ila yote Kwa yote madereva wa serikali ni wendawazimu
 
Umenena kweli mkuu,Bora wachukue wazee!
 
Mchane tuu ipo siku mtakuwa vilema au marehemu wajao!
 
Hapo sasa ukute Huyo RAS ndo alikuwa anamgombeza dereva akiwa anaendesha mwendo wa slow..! Suala la kuendesha barabarani ajali ikitokea analaumiwa dereva ila haya mambo ni magumu sanaa..
 
Umenena Mkuu. Wewe Kichwa Haswaa. Yaan hao walioko kwenye nafasi za kutunga sheria mfano Za Halmashauri na Baraza la madiwani yaani By Laws, na lazma Ras apitishe, hawajaona sababu yy Mtanzania wa JF ndio Akawasemee! Mahoka.
 
Mkuu mbona unaongea uharo? Kati ya kiongozi anaendeshwa na dereva anaendesha ni nani anaamua gari likimbie kwa mendo upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…