Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
hapa umeongea kitaalamu sanaHili Tatizo alilolifanya Refa Kitaalamu Linaitwa BIAS au 'Mahaba' Kwa Kimatumbi...!
Je Lina Madhara yoyote..?
Ndio..!
Madhara Yake Makubwa ni Kuwafanya Wananchi Wote Kuendelea Kusikiliza 0.5 FM Radio Kwa Zaidi' Ya Miaka 24 bila Kukinai...!
Je Watachomoka hapo?
Ni Suala La Kumuomba Mungu..! Wenyewe Bado Wapo Usingizini.
Mtanena kwa lugha mwaka huu dadekiiš¤£š¤£Hili Tatizo alilolifanya Refa Kitaalamu Linaitwa BIAS au 'Mahaba' Kwa Kimatumbi...!
Je Lina Madhara yoyote..?
Ndio..!
Madhara Yake Makubwa ni Kuwafanya Wananchi Wote Kuendelea Kusikiliza 0.5 FM Radio Kwa Zaidi' Ya Miaka 24 bila Kukinai...!
Je Watachomoka hapo?
Ni Suala La Kumuomba Mungu..! Wenyewe Bado Wapo Usingizini.
Mzee Huna macho? Huoni