Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Wekeni akiba ya maneno maana siku si nyingi mtapewa pia la mchongo kama ilivyo siku zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa umeongea kitaalamu sanaHili Tatizo alilolifanya Refa Kitaalamu Linaitwa BIAS au 'Mahaba' Kwa Kimatumbi...!
Je Lina Madhara yoyote..?
Ndio..!
Madhara Yake Makubwa ni Kuwafanya Wananchi Wote Kuendelea Kusikiliza 0.5 FM Radio Kwa Zaidi' Ya Miaka 24 bila Kukinai...!
Je Watachomoka hapo?
Ni Suala La Kumuomba Mungu..! Wenyewe Bado Wapo Usingizini.
Mtanena kwa lugha mwaka huu dadekii🤣🤣Hili Tatizo alilolifanya Refa Kitaalamu Linaitwa BIAS au 'Mahaba' Kwa Kimatumbi...!
Je Lina Madhara yoyote..?
Ndio..!
Madhara Yake Makubwa ni Kuwafanya Wananchi Wote Kuendelea Kusikiliza 0.5 FM Radio Kwa Zaidi' Ya Miaka 24 bila Kukinai...!
Je Watachomoka hapo?
Ni Suala La Kumuomba Mungu..! Wenyewe Bado Wapo Usingizini.
Mzee Huna macho? Huoni