The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Hiyo hapo juu ni orodha na picha ya Magaidi 19 ya Hamas na Islamic Jihad yaliouwawa na Airstrike ya Jeshi teule tukufu la IDF yakiwa yamejificha shuleni wakidhani yatakuwa salama.
Pia soma: LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
Inasemekana maisha ya kujificha kwenye mahandaki ardhini kama panya. yamekuwa magumu yameamua kuibuka nje. Na wapalestina wazalendo wanawachomea kwa wateule. Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo anawasaidia Mossad na Shin Bet na intelejensia.
Imaam Hussein Ibn Ali A.S FOREVER