kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Hakuna sehem ardhi ina wenyewe wewe. Hii dunia ni survive of the fittest mzee. Hata waarabu kasikazin mwa Africa waliua weusi na sasa wanaishi wao. Na ndicho wanachofanya hapo Darfur. Popote anaposema ni pa watu flan sio kwao ni kuwa wazee walipapenda wakaweka maskan sio kwaoNdio maana nasema na huyo kamanda wa israel kaeleza vizuri nini chanzo cha ugomvi
Na kuifananisha serikali ya israel navya hitler
Ingawa imemgharimu nafasi yake ya kuwa mkuu wa majeshi lakini amesimamia ukweli
kuchukua ardhi ya mtu kimabavu na kuuwa wapalestina na kuwakamata na kuwatesa bila ya sababu kila siku huo ni ukatili na wamefanyiwa hivi kwa miaka 50 iliyopita
Huyu kamanda ambaye amerisk maisha yake vitani akiipigania israel huku akipendekezwa kuwa mkuu wa majeshi anajua mambo mengi na ya siri kuliko wewe mkristo wa mbwinde lakini hakusita kusema ukweli