Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Wangekua na utu wasingejaza mashoga na masagaji jeshini na wanaoana vitaniUkienda kwenye maziko ya ndugu zako katika imani ndio utafanya hiyo kazi ya kupekua maiti.
IDF na intelijensia yao pamoja na huruma yao kutoa mpaka ultimutum watu waondoke maeneo watakayoshambulia kabla hayajashambuliwa, ni kipimo cha utu wao kwa ulimwengu na nia yao nzuri kupiga tu maadui zao.
Hawa sio utu tu hata utukutu hawana washenzi