NAchojiuliza unafahamu ukatili anaofanyiwa palestina kabla ya oct 7 au kwako maisha yameanza oct 7? Serikali ya israel imekuwa ikiwafanyia wapalestina kama hitler alivyokuwa akiwafanyia wao, na hapo kamanda mkubwa wa jeshi la israel kaliweka hilo wazi ,huyu ana uchungu na israel kuliko nyie wakristo msiokuwa na elimu na hata hamjawahi kuipigania israel, ila tofauti yake na yenu ni akili, ana uwezo wa kufikiri sio kufuata mkumbo, yupo tayari kukosa cheo cha juu cha jeshi la israel ila ana hofu na mumgu na kaongea kilichokuwa haki bila ya kujali maslahi wala nguvu aliyopoteza vitani