Wewe ndo umejazwa ujinga kupitia propaganda za Al Jazeera. IDF wameonyesha hadi jengo na sehemu ya chumba ambacho kilipigwa bomu na kuacha sehemu nyingine ya jengo bila kukuguswa na likiwa limesimama.
Ukifuatilia Al Jazeera wanasema miili mingine iliharibika ikabidi wawe wanakusanya na kupima uzito ikifika kilo 70 wanajua ni mwili wa mtu mmoja. Wengine wanasema wamezika kilo kuonesha ni mwili wa ndugu yao.
Kwa mazingira kama hayo unaweza kujua idadi ya watu kamili ndani muda mfupi tangu shambulio kutokea?
Halafu anayetoa taarifa ni waziri wa hamas, ambao ajenda yao siku zote ni kutumia vifo vya raia kupata huruma na uungwaji mkono kutoka kwa mataifa na jumuiya za kimataifa ambazo na huwa hazina muda wa kujiridhisha ni kutoa matamko tu.