The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Wanachapisha tu bila verification yoyoteWatajuta kujichanganya October 7.. kwisha habari yao.
Verification ni ugaidi walioufanya Oct 7.Wanachapisha tu bila verification yoyote
Wateule hawakosei walijuwa hadi Mkuu wa Hamas Haniyeh na mpenzi wake wa kiume yeye anadai mlinzi walipolala pamoja Tehran Iran.Wanachapisha tu bila verification yoyote
LINI TENA IMETOKEA HII?View attachment 3066568
Hiyo hapo juu ni orodha na picha ya Magaidi 19 ya Hamas na Islamic Jihad yaliouwawa na Airstrike ya Jeshi teule tukufu la IDF yakiwa yamejificha shuleni wakidhani yatakuwa salama.
Inasemekana maisha ya kujificha kwenye mahandaki ardhini kama panya. yamekuwa magumu yameamua kuibuka nje. Na wapalestina wazalendo wanawachomea kwa wateule. Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo anawasaidia Mossad na Shin Bet na intelejensia.
Imaam Hussein Ibn Ali A.S FOREVER
Hahahaha. Mi pia hilo swali nilijiuliza sana. Jamaa alilala na mlinz wake chumban? Waarabu banaWateule hawakosei walijuwa hadi Mkuu wa Hamas Haniyeh na mpenzi wake wa kiume yeye anadai mlinzi walipolala pamoja Tehran Iran.
View attachment 3066568
Hiyo hapo juu ni orodha na picha ya Magaidi 19 ya Hamas na Islamic Jihad yaliouwawa na Airstrike ya Jeshi teule tukufu la IDF yakiwa yamejificha shuleni wakidhani yatakuwa salama.
Inasemekana maisha ya kujificha kwenye mahandaki ardhini kama panya. yamekuwa magumu yameamua kuibuka nje. Na wapalestina wazalendo wanawachomea kwa wateule. Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo anawasaidia Mossad na Shin Bet na intelejensia.
Imaam Hussein Ibn Ali A.S FOREVER
Usichoelewa ni kuwa, huu ni mwanzo wa mwisho wa mazayuni kuikalia nchi ya watu. Hata ANC afrika Kusini waliitwa magaidi na wakauliwa Waafrika wengi sana, mwisho wa siku, sasa wanaongoza nchi yao kwa raha zao.Watajuta kujichanganya October 7.. kwisha habari yao.
Walipokuwa wazima walipewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) Sasa hivi wanafanyiwa wepes na kupewa qauli thabeet za kutosha.Allah awape qauli thabeet
MKuu hebu funguka kidogo kuhusu huo uhusiano na mlinzi wake!Wateule hawakosei walijuwa hadi Mkuu wa Hamas Haniyeh na mpenzi wake wa kiume yeye anadai mlinzi walipolala pamoja Tehran Iran.
Damu ya watanzania wawili wakulima namba moja waliouwawa kikatili na haya magaidi inazidi kulipiza kisasi.From the River to the Sea...
Someni mambo ya nyakati ninyi watu, mko Brain washed sana na Propaganda za Mzionist...
Unalijua lengo la Hamas kukua hadi kujiimarisha kwake lilikuwa lipi?, pamoja na intelligence kali ya MOSSAD, unanambia hawakuwa na taarifa za October 7?, amka usingizini ww!Damu ya watanzania wawili wakulima namba moja waliouwawa kikatili na haya magaidi inazidi kulipiza kisasi.
Rest in peace our lovely brothers Joshua Mollel and Clemence Mtenga.
Verify wewe kama siyo kweliWanachapisha tu bila verification yoyote
Imaam Hussein Ibn Ali A.S FOREVER
Kama nakuona ulivyovurugwa na hii habari. Unatamani hadi kubadili rangi ya kanzu, kubasi na kilemba.Picha za watu kuuliwa zinakuwa hivyo?
Onesha picha za watoto na wanawake waliouliwa kweli.
Wajinga ndiyo waliwao.
Mmejazwa ujinga ukawajaa.
uwongo ulioaminishwa ambao kamwe hautotimia🤣😂Usichoelewa ni kuwa, huu ni mwanzo wa mwisho wa mazayuni kuikalia nchi ya watu. Hata ANC afrika Kusini waliitwa magaidi na wakauliwa Waafrika wengi sana, mwisho wa siku, sasa wanaongoza nchi yao kwa raha zao.