Hawa ndio magaidi wa Hamas waliouawa kwenye shule huko Gaza

Wapalestina original hawana noma na Wala hawana ugovi wowote na ndugu zao wayahudi. Wapo wafuga ndevu Fulani wakishavembewa tende wanaokwenda eti kumpigania Mungu wao. Hivyo wapalestina wenyewe hawawataki kwa sababu wanawaletea matatizo. Acha wakipate walichokitaka watashangaa hao mademu ya kijini 72 Wala hawawaoni zaidi ya kutupiwa kwenye ziwa la moto
 
mazayuni wamekasirika baada ya askari wao wakishirikiana Mmarekani kuiulowa kama njiwa huko Yemen.

Hao mashoga watapiga hospitali na shule tu kwa mbali tu, hawawezi kusimama na wanaume wakapigana.

Wenyewe wanasema hilo kila siku.
 
mazayuni wamekasirika baada ya askari wao wakishirikiana Mmarekani kuiulowa kama njiwa huko Yemen.

Hao mashoga watapiga hospitali na shule tu kwa mbali tu, hawawezi kusimama na wanaume wakapigana.

Wenyewe wanasema hilo kila siku.
Wanaume wapi unaowazungumzia? Wale wanaojificha katikati ya raia na kutega mitego na kulipua nyumba zao wenyewe wasijue vita ikiisha ndugu zao wataishi wapi? Kama wanaume kweli waambie watoke hadharani uone kinachowatokea.
Katika historia hakuna mpigania uhuru aliyekuwa anajificha katikati ya raia anaowatetea, na sifa ya mwanaume anaenda vitani anaiacha familia mahali salama.

Ukiona mwanaume anajificha kwenye mashimo na katikati ya raia na kuwaweka wanawake na watoto kama ngao huyo ana shida kubwa.

Ukweli ni kwamba ndugu zako vita yao wanategemea huruma kutoka kwa mataifa mengine hawana uanaume wowote.
 
Watawamaliza Wote Wakae Meza Ya Duara Angalau Muafaka Upatikane
 
Wewe mtoa mada wacheni ujinga dunia nzima imelewa wazi hao wote waliopo kwenye shule hakuna hata mmoja katika hao aliye kufa. Mkisha ona mmedangan'ywa na wale wanafiki wanao wapeni infomation, mnanza kuzua uwongo.

Israel alipo fanya mauwaji kule siku za nyuma akajidai kamuwa Mohammed Al Dhaifu na hio yote ni uwongo, kafanya mauwaji mengine ya civilian kajidai kamuwa Abu Obaida yote hayo ni uwongo mtupu.

Wanafanya genocide kuwauwa watu wasio na hatia na wao ndio wanawanbia waelekee huko kwenye safe side, afu wanakuja piga.

Shenzi type afu anakuja yule Msenge mkubwa wa US Joe Biden anakuwambia Iran na Hezbullah msimpige Isreal, nyie wacheni Israel awapige tu 😄

Joe Biden anataka Israel ipige nyie mnaitazama tu. Huo ndio ukristo na hayo ndio mafunzo ya Paulo. Paulo alivyo kuwa mchinjaji wakati ule anaitwa a.k.a Saul, alikuwa anataka yeye kuchinja tu ghafla puu kawa mtume wa kikristo kwa ndoto tu 😄
 
Leteni dalili moja Hamasi walifanya Genocide tarehe 7th October huwezi kupata sababu Wayahudi na Wakristo wote ni waongo.

Nionyeshe picture moja tu ya Hamasi wamefanya genocide, au rape iwe verified na independent source huwezi kupata. Huoni hata Israel waliwacha tena kuongelea hizo point, sababu walijikuta wameukalia, zile picture za watoto sijui wamekatwa vichaa zilikuwa ni fake picture, orignali walichukua wao hizo picture wanavyo fanya kule Gaza. Walivyo ona wamebanwa hawakuongelea tena, umewasikia hata wanaongelea hayo.
 
Mapunguani na mashoga na wajinga ndiyo wanaweza kukubali hizo propaganda.


View: https://x.com/qudsnen/status/1822539426225926487?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unakumbuka Israel waliweka ushahidi kuwa Shifaa Hospotal ndiyo Makao Makuu ya Hamas na chini ya Hospital kuna Mahandaki wamewafika mateka baada ya kifanya mauaji kuuwa wagonjwa na watoto ulionyewa mateka? Usiwe punguani.


 
Waambie ndugu zako katika imani waache kutumia raia wa Gaza kama human shield. Watakwisha…
 
Waambie ndugu zako katika imani waache kutumia raia wa Gaza kama human shield. Watakwisha…
Hizo propaganda za mashoga bado unazitumia 😀

Kwa hiyo ukitumia watoto kama ngao kombora linachagua wa kuuwa linauwa watoto linawacha Hamas?

Punguni peke yake na shoga ndiyo wanalishwa hizi propqganda.
 
Wateule hawakosei walijuwa hadi Mkuu wa Hamas Haniyeh na mpenzi wake wa kiume yeye anadai mlinzi walipolala pamoja Tehran Iran.
Unadhani kila mtu ana mpenzi wa kiume kama wewe ulivyo na mwanaume mwenzio?
Na baraka mnapokea🤔
 
Tunasikitika kwa vifo vya wanafunzi 150 katika shule hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…