Reality ipo hivyo ila kwa jamii inayojidai imeestarabika na inapigia kelele wengine kuhusu haki za binaadamu haipswi kuwa hivyo ,ndio maana kupunguza mambo haya tunaweka makubaliano ya kimataifa ya mipaka, na kujustify kuua mamilioni ya watu mtu yoyote mwenye akili timamu na mpenda haki hawezi kuunga mkono irrespective of religion or race