Kwa hivyo vitambi wanakwenda deep kiasi gani uwanjaniView attachment 3388721
Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030
Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.
#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Mwaka huu kama ilivyokuwa 2020 hakuna uchaguzi, kuna igizo tu la uchaguzi.View attachment 3388721
Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030
Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.
#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Sio rahisi kushinda kule Wana wagombea waliowazidi Nguvu.View attachment 3388721
Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030
Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.
#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
🤣 🤣 🤣Bunge la nchi inayofanya vizuri kwenye uchumi kuliko ulaya na marekani🤣
Ahsante sana CCM mmejua kutuona mafala.
Wewe utaki ubunge.Poor argument from poor brain!
😂😂😂Poor argument from poor brain!
Una mvuto wa kupiga pesa tuUbunge now hauna mvuto