Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Napiga piga tuu mkuu science of computerMkuu unapiga kozi gani hapo maana hata mimi nilisoma hapo.
Napiga piga tuu mkuu science of computerMkuu unapiga kozi gani hapo maana hata mimi nilisoma hapo.
Hongera mkuu UDOM ni cho bora hususan kwenye mausuala ya IT.Napiga piga tuu mkuu science of computer
Hakuna kitu hapoView attachment 3388721
Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030
Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.
#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Tupo nondo sana maana IPT huwa wanatufua sana kama ukienda maintenance...Hongera mkuu UDOM ni cho bora hususan kwenye mausuala ya IT.
Haya nimekuketea Jaji mstaafu Ibrahim Juma kuwa mkuu wako wa chuo, unanidai nini tena.
Yes, hebu maliza kisha uje huku mtaani tuanze kuyajenga maisha.Tupo nondo sana maana IPT huwa wanatufua sana kama ukienda maintenance...
Mkuu ndo namaliza pia napenda kukumbush
😂😂😂😂 Sema hii kauli ya kibabe kubabekiYes, hebu maliza kisha uje huku mtaani tuanze kuyajenga maisha.
Kaulimbiu yetu ni ileile ya kutokutiatia huruma kwani sisi ni wa kiume.
Duuh!! Inashida gani mkuu?Huku amani mkuu..
Sema desktop yangu toka jana inazingua mkuu daaah an hata selewi hapa
Naku tag soonDuuh!! Inashida gani mkuu
Prof. Kabudi sio chaguo la SSH rejea maamuzi yake ya kumwondoa kwenye Baraza la mawaziri 2022 akiwa ni waziri wa katiba na Sheria Kwa madai kuwa atampangia kazi nyingine.Sio rahisi kushinda kule Wana wagombea waliowazidi Nguvu.
Kwamba Mwijaku atamtoa Prof Kabudi?
💪Ishu ilianzia huko at least vigezo vingekua vinabana mkuu
Ni kauli yenye kutia nguvu pia 😀.😂😂😂😂 Sema hii kauli ya kibabe kubabeki
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.View attachment 3388721
Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030
Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.
#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Hii haiitaji mtu mnyonge aiseeee la si hvyo sijui lakiniNi kauli yenye kutia nguvu pia 😀.
Haihitaji wale wote wanaojiita watoto wa mama.Hii haiitaji mtu mnyonge aiseeee la si hvyo sijui lakini