GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3388721

Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030

Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.

#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Kwani kuna uchaguzi mpaka useme watashinda?
 
Uzuri ni kuwa unajitambua
Yaah kuna mda tusiongee kufurahisha wengine..
Tusiongee ili uonekane upo awareness

Vaa uhalisia alafu jiulize kinachofanya useme hao hawafai ni nini na wewe una nini...?
 
Samahani ulivyo sema miamba unamaanisha nini?
Mimi hao sijawahi hata kuwasikia
 
Kama watagombea kupitia chama tawala.its oky watapita...

Ubunge ni jinsi gani unaweza ongea ili kuhakikisha jimboni kunakuja maendelei basi..

Kama wanaweza hayo yote shida ipo wapi.
Even you sasa kama huutaki ubunge au hata udiwani basi wewe una shida mkuu...

Kila mtu yupo kwa ajili ya tumbo lake
Vigezo vya hovyo sanaaa ni sawa na kipofu kumwongoza kipofu
 
View attachment 3388721

Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030

Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.

#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Tunaenda kuwa na bunge la kipumbavuuuu! Wanajilinganisha na akina Sugu, Haule na MwanaFA? Wenzao walikuwa na akili!
 
Mimi nalia na JWTZ wanetususa hata kama wanaona uozo uliopo nchi wao wako kimya tu! Kwa nini wasichukue nchi ili waweke mifumo inayoeleweka? Ondoa vigezo vyote vya kipumbavu katika ubunge! Eti mradi Takataka inajua kubwabwaja nayo inapata ubunge!
 
View attachment 3388721

Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030

Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.

#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Lolote laweza tokea...
 
Kama watagombea kupitia chama tawala.its oky watapita...

Ubunge ni jinsi gani unaweza ongea ili kuhakikisha jimboni kunakuja maendelei basi..

Kama wanaweza hayo yote shida ipo wapi.
Even you sasa kama huutaki ubunge au hata udiwani basi wewe una shida mkuu...

Kila mtu yupo kwa ajili ya tumbo lake
Mkuu muda wa kuchambua siasa unaupata wapi wakati UE inakusubiri.
 
View attachment 3388721

Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030

Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.

#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Kwa kweli bunge letu kwa sasa limekuwani la kishenzi tu, hivi watu kama hawa kweli ndiyo wanakuwa watunga sheria wetu?
 
Mkuu muda wa kuchambua siasa unaupata wapi wakati UE inakusubiri.
Paper saa sita mkuu alafu mi Genius hata siogopi hapa.. kwanza computer angu imezinguwa
IMG_20250630_081616.jpg
 
View attachment 3388721

Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030

Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero.

#KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE PAMOJA
Dah!...
 
Sa maanake nini midume mizima kugusanisha vitovu namna hii?!
Astaghafillulah..!!!
Hawa inawezekana mmoja wapo anampumulia mwenzie kisogoni😂
#No reforms no Election!!!

Back
Top Bottom